omarymbwambo
Member
- Sep 22, 2014
- 59
- 46
Hakika wewe ndo kioo cha taifa letu ktk masula ya muziki kimataifa.ushauri wngu kwako hakikisha unavaa lebo ya taifa letu kama jezi za taifa stars au nguo yeyote yenye jina la Tanzania.Big up sana kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha Diamond ni maarufu kuliko Ngorongoro crater, Mt. Kilimanjaro na Serengeti?Hakika wewe ndo kioo cha taifa letu ktk masula ya muziki kimataifa.ushauri wngu kwako hakikisha unavaa lebo ya taifa letu kama jezi za taifa stars au nguo yeyote yenye jina la Tanzania.Big up sana kwako
Hata mimi nilitaka kumuuliza hayo maswaliUnamaanisha Diamond ni maarufu kuliko Ngorongoro crater, Mt. Kilimanjaro na Serengeti?
Siyo lazima wewHakika wewe ndo kioo cha taifa letu ktk masula ya muziki kimataifa.ushauri wngu kwako hakikisha unavaa lebo ya taifa letu kama jezi za taifa stars au nguo yeyote yenye jina la Tanzania.Big up sana kwako
mkuu umeuaUnamaanisha Diamond ni maarufu kuliko Ngorongoro crater, Mt. Kilimanjaro na Serengeti?
mt. kilimanjaro upo kenya mbonaUnamaanisha Diamond ni maarufu kuliko Ngorongoro crater, Mt. Kilimanjaro na Serengeti?
bendera ya ChademaNa jpm nae avae rangi ya bendera
Inawezekana maana huko duniani wanajua huo mlima kilimanjaro kwamba upo kenya upo hapo...Unamaanisha Diamond ni maarufu kuliko Ngorongoro crater, Mt. Kilimanjaro na Serengeti?
Sikushangai, na wala hauko peke yako.mt. kilimanjaro upo kenya mbona
Nimeona mleta mada kasema ni katika masuala ya mziki.Unamaanisha Diamond ni maarufu kuliko Ngorongoro crater, Mt. Kilimanjaro na Serengeti?
Inawezekana mana huko Ngorongoro, Serengeti na Kilimanjaro Kuna VAT zinaboa mpaka watu wanaishia Kenya..Unamaanisha Diamond ni maarufu kuliko Ngorongoro crater, Mt. Kilimanjaro na Serengeti?