Diamond kila wimbo unaoimba hakikisha unavaa tshirt yenye nembo ya Tanzania

Diamond kila wimbo unaoimba hakikisha unavaa tshirt yenye nembo ya Tanzania

Mbona wasanii wa majuu hawafanyi hivo ?

Ila akili ni nywele ....
Asilimia kubwa wao huwa wanataja majina ya taifa lao au majimbo waliotoka nayo n moja ya kujitangaza
 
,,,ili wakenya wasiseme wao,nimekuelewa mtoa mada
 
Hakika wewe ndo kioo cha taifa letu ktk masula ya muziki kimataifa.ushauri wngu kwako hakikisha unavaa lebo ya taifa letu kama jezi za taifa stars au nguo yeyote yenye jina la Tanzania.Big up sana kwako
Wewe mbona huvai?vaa kwanza wewe walau chupi yenye nembo ya Tanzania
 
Back
Top Bottom