Asilimia kubwa wao huwa wanataja majina ya taifa lao au majimbo waliotoka nayo n moja ya kujitangazaMbona wasanii wa majuu hawafanyi hivo ?
Ila akili ni nywele ....
Ule utafiti wa kila watanzania wa 4 kati ya mmoja ni kichaa ulikuwa sahihiSikushangai, na wala hauko peke yako.
Mazuzu mko wengi mbona, mwingine alishawahi kutuambia kuwa tanzania ni muunganiko wa Zanzibar na Zimbabwe
Wewe mbona huvai?vaa kwanza wewe walau chupi yenye nembo ya TanzaniaHakika wewe ndo kioo cha taifa letu ktk masula ya muziki kimataifa.ushauri wngu kwako hakikisha unavaa lebo ya taifa letu kama jezi za taifa stars au nguo yeyote yenye jina la Tanzania.Big up sana kwako
Hahaha ila bangi sio mboga za majan kweli nimeaminoSikushangai, na wala hauko peke yako.
Mazuzu mko wengi mbona, mwingine alishawahi kutuambia kuwa tanzania ni muunganiko wa Zanzibar na Zimbabwe
Hawachelewi kusema ni wao wakati wao wana mamidundo yao hainaga mvuto kabisa,,,ili wakenya wasiseme wao,nimekuelewa mtoa mada
Hahahahaha umenichekeshaSio Diamond tu, mi ushauri wangu watanzania wote tushonewe uniform rangi ya bendera tuvae.