ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Nifah atakwambi diamond simpendi ila ni mkali.Jamani mtafanya kina Nifah na team yake waanze kuchafua hewa...Mondi anatisha
Duuh! You make my day leo aseeTangazo tu la Vodacom limeharibu mipango yote ya uzinduzi wa Lupela, sasa akitoa na wimbo si ndio balaa kabisa. Tatizo kupigana kwa mawe huku unakaa kwenye nyumba ya vioo ndio hili. Vioo vyote vitapasuliwa.
Mnamaneno duDiamond akiachia nyimbo ni kwa Afrika
Sio kwa ajili ya Alikiba
Ndo kasema hivyo mkuu?Haya sasa Chibu dangote! Diamond katika ukurasa wake wa twitter amesema kuwa wiki hii anaachia video mpya ya kwake na kutaka watu kukaa mkao wa kula
sijajua Diamond ana Maana Gani akati kiba kaachia video nae mda mfupi tuu
ngoja tusubiri
kuna picha aliwekaga kwenye page yake insta nazani itakuwa hiyo,.akiwa ameshika bunduki tangu dec 12Ndo kasema hivyo mkuu?
Mkuu huyu dogo ana project kibao..Sema naona Utanipenda bado inafanya poa..Labda hiyo video mpya inaweza kuwa ya Harmonize au Raymondkuna picha aliwekaga kwenye page yake insta nazani itakuwa hiyo,.akiwa ameshika bunduki tangu dec 12View attachment 322222