Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio!Ndo kasema hivyo mkuu?
Ataangusha mbuyu juu ya mpera we usizime radio. Tv wala data teh kaa tayariMkuu huyu dogo ana project kibao..Sema naona Utanipenda bado inafanya poa..Labda hiyo video mpya inaweza kuwa ya Harmonize au Raymond
hivi hamna tuzo za mtangazo bora....Tangazo tu limefunika sipati picha hilo songi
Umenifurahisha sanaWanasema ukianzisha vita hakikisha umejipanga[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Sure....Diamond akiachia nyimbo ni kwa Afrika
Sio kwa ajili ya Alikiba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu diamond katangaza album ipo tayar bado kutoka tuuu... Sasa hebu imagine kuna kushinda hio vita walioianzisha[emoji124] [emoji124] [emoji124]Umenifurahisha sana
Haya sasa Chibu dangote! Diamond katika ukurasa wake wa twitter amesema kuwa wiki hii anaachia video mpya ya kwake na kutaka watu kukaa mkao wa kula
sijajua Diamond ana Maana Gani akati kiba kaachia video nae mda mfupi tuu
ngoja tusubiri
ah,mkuu kuna cha maana basi..ni ungese ungese tu wa mashabiki wa timu tembo/ndovuHivi wadau,kwanini watu huwa wanamlinganisha Ali kiba sijui king kiba na Diamond?
Yaani kwa kigezo kipi,mafanikio ya kimziki au umaarufu?
Kama ni uzuri wa sauti,kwanini wasimlinganishe Ali kiba na ruby au Dida?
The key logic ni ipi hapo?
lupela ndo video mbovu ya karne hovyoooo kabisa diamond na kiba ni sawa na kumlinganisha messi na winga wa majimaji ya songea komba ndunguru haule
lupela ndo video mbovu ya karne hovyoooo kabisa diamond na kiba ni sawa na kumlinganisha messi na winga wa majimaji ya songea komba ndunguru haule