Diamond kufuta lala salama

Diamond kufuta lala salama

Umeeleweka vizuri sana mkuu, hongera kwakua na kumbukumbu na kuunga hizo nukta
 
Mbona unaandika kama vile unaumwa Tumbo la kuharisha mkuu?
 
Kuna kipindi kumewahi kutokea mikwaruzani kati ya Harmonize na Diamond Platnumz,” said Lizer Classic.
“Nakumbuka kuna siku Diamond alikuja Studio akaniambia kuwa nifute vocal zake zote katika wimbo wa Kwangwaru nibakishe tu vocal za Harmonize. Nikaona nisije nikapoteza kibaru changu, nikajua tu hawa wamegomba. Ivo nilimwambia tu mafuta lakini sikufuta.”Lizer Classic

Kusikia haya maneno ya producer huyo wa WCB inanikumbusha wakati alikiba alisema diamond alimfuta katika wimbo wa lala salama kwenye sporah show. Inathibitisha kuwa diamond ikawa kweli alimfuta alikiba kwenye wimbo wake ukweli hauna pazia.


kutoelewa wazo hili ni kama hujui kusoma ndio hukuelewa.
Naona vijana mshamaliza pepa now mko free kitaani Loh!
 
Back
Top Bottom