Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
Unawezaje kusoma ujinga na kuu comment? Achana nao binamu we pita ivi👉👉👉
Asituchoshe apa umbea anaupenda halafu anajishaua, akafie mbele uko
Niko poa binamu, vp uko wazima wote?
Menina atakubali? maana kashasema atampeleka wapi ndomo kwa domo lile,au kafanya upasuaji kurekebisha domo lake? Yetu macho na masikio ila wanachosha na habari zao za kise...nge manyoya.
Hasubuhi we unasikiaga njaa? Mimi hayo mambo sinaga kabisa, mi umbea tu nikiamka hasubuhi ndo nauwaza, chai kila siku ni ile ile haibadiliki ila umbea kila siku mpya
Mmh!! Mambo tayar? Huyo uncle wangu atakuwa balaaa kwa kweli
Mhuu!Ng'ombe atakufa ataacha kisima palepale!hao ni mang'ombe jf kisima na sisi tutakufa jukwaa litabaki miaka mia!
Infact umaarufu wao unatutegemea sisi,yani amin usiamin tukiwasusa hao mapato yao yanashuka!kwanza wanapenda kuongelewa ndo maana hawaishi vihoja!
Diamond na wema ni celebrities kama walivyo ma celebrity wengine