Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

unanitaka

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2014
Posts
2,178
Reaction score
1,045
Hawa watu ni ndugu wa Mondi. Je, atawawekea dhamana baada ya kuwa na tuhuma za ngada? Au atajiweka mbali ili asiharibu image yake?

[emoji78] [emoji78] [emoji78] [emoji78] [emoji78]

======


Petit Man

Rommy Jones
 
Hawa watu ni ndugu wa mondi je atawawekea dhamana baada ya kuwa na tuhuma za ngada? Au atajiweka mbali ili asiharib image yake. [emoji78] [emoji78] [emoji78] [emoji78] [emoji78]
Petit man ni shemeji kabisaaa wa mondi...kama unamjua esmaplatinum huyo ndiyo dada ya mond na ndiyo ameolewa na petit man....ni shemelaaaaaaa huyo kwa ninavyojua mie
 
Kwani rommy nae ametajwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…