Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Hii ni movie tu, wanatupigia kelele wakati huko mitaa ya Migo na Kindoni watu wanadevela mchana kweupee
 
Sky Eclat siku zote usijilazimishe kufanana na mtu fulani kimaisha, watu wana siri nzito za mafanikio yao wengine hata amani nayo hawana, heri uwe na kidogo ambacho utakuwa na amani nacho.
Sisi watu wa Pwani pressure ya maisha ya ajabu hatuna, ukiwa na mahali pa kulala na una uhakika wa kula na kuvaa unamshukuru Mungu.
 
Back
Top Bottom