mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,186
Mkuu watu wamelala polisi toka siku walioitwa polisi kwenda kuojiwa we bado unasema kuwa sio wakosaji?!Jamani ikumbukwe kuwa kuitwa polisi sio mkosaji, hivyo ata mondi akiwawekea dhamana washikaji wala hatoharibu image yake, ila kwa watu wanaoangalia karibu ndio itakuwa tatizo kwao, kwangu mm atakuwa amefanya jambo LA msingi mnooooo
Ulitaka wadakwe na mzigo kabisa ndio ukubali?!