Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Jamani ikumbukwe kuwa kuitwa polisi sio mkosaji, hivyo ata mondi akiwawekea dhamana washikaji wala hatoharibu image yake, ila kwa watu wanaoangalia karibu ndio itakuwa tatizo kwao, kwangu mm atakuwa amefanya jambo LA msingi mnooooo
Mkuu watu wamelala polisi toka siku walioitwa polisi kwenda kuojiwa we bado unasema kuwa sio wakosaji?!

Ulitaka wadakwe na mzigo kabisa ndio ukubali?!
 
Kwenye ule wimbo wa 'bado bado' kaweka kibwagizo eti apewe 'chaukucha tu asije zima'...!
Je ni kweli utajiri wake kaupatia kwenye MUZIKI...!! mbona wengi wameimba jamani.....!! Kona zote AFRIKA YA MASHARIKI... KUSINI... KASKAZINI... MAGHARIBI... NA KATI..... ila MONDI ndie kawa KINARA afrika yote....!! Time will tell......
 
Mmh hivi wewe ni shabiki wa dai kweli au pandikizi?huoni hii picha kaiweka kwwnye account yake mwenyewe,huyo ni ndugu yake dai hata alipopata skendo ya ubakaji hakumfukuza wcb bali walimtetea.(ujinga sio tusi tafuta jingine,poooovuuuu)
Unazidi kuonyesha ujinga wako hapo wapi? Na wanaenda wapi?
Pole sana mkuu
 
Mmh hivi wewe ni shabiki wa dai kweli au pandikizi?huoni hii picha kaiweka kwwnye acxount yake mwenyewe,huyo ni ndugu yake dai hata alipopata skendo ya ubakaji hakumfukuza wcb bali walimtetea.(ujinga sio tusi tafuta jingine,poooovuuuu)
Hahaha kwani nimekataa Romy sio ndugu wa diamond? Nadhani huelewi point yangu hapa
 
Mkuu watu wamelala polisi toka siku walioitwa polisi kwenda kuojiwa we bado unasema kuwa sio wakosaji?!

Ulitaka wadakwe na mzigo kabisa ndio ukubali?!
Hiyo ya kulala polisi bado haithibitishi kwamba wana hatia, kumbuka mtu anaweza kuwekwa mahabusu(rumande) hata zaidi ya mwaka mzima upelelezi ukikamilika ndio anatolewa hukumu, kama ana hatia anafungwa kama hana hatia anaachiwa huru, kitendo cha kuwekwa rumande ni kuhakikisha mtuhumiwa hayuko uraiani ili asije kuvuruga ushahidi(uchunguzi)

Wakati mwingine ni kumuweka salama kwa mfano mtu ameua ndugu za marehemu wanaweza kumuua huko mtaani.
 
Mkuu Kama hujui kaa kimya,
Dada wa diamond aitwaye Esma platnumz ndio ameolewa na Petit Man wakuache, kwahyo huyo Petit Man ni Shemeji wa diamond
Usipende pia kukurupuka mkuu na shemeji sio ndugu yako hata siku moja na isitoshe Diamond alikataa dada yake kuolewa na petit na ndio maana hata siku ya harusi ya esma diamond hakuwepo.Nadhani umenielewa shemeji yako sio ndugu yako
 
Moyo wa kuridhika hata Mungu anaupenda turidhike na tunachopata ili tuwe salama na wenye amani.
Hapa ndipo unamuona Barnaba na Jaydee ni wasanii wanaojitambua. Wanaridhika na mafanikio ya kimuziki.

Nakumbuka hata kundi la weusi walichukua hatua ya kumtenga mwenzao aliyekuwa akitumia madawa ili kulinda heshima ya kundi hilo
 
Jidanganye hivyo hivyo, mali zako na Diamond ukijumlisha zote hazifiki hata robo ya mali zangu.

Mimi ni bendera la mbao, ni wabongo wachache sana, hawafiki kumi wanaonizidi kwa akili na mali
Hahahaha Sio kwa akili hizo za kimaskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…