Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

CCM wewe maana hamumtaki msema kweli sisi tuna screenshot tuu tunasambaza
 
Wakati anamtukana Lowasa habari zake zilikua zinaaminika sana,
Lakini siku hizi anawapa makavu amekua Muongo kupindukia
 
Ukiona unafikia wakati Mange anakua chanzo chako cha habari ujue ni majanga.
 
Mi nina wasiwasi siku watu wa Trump wakimdeport atakimbilia wapi manake anasubiriwa kwa hamu wana hasira nae..
 
I understand Mange Kimambi! She always talk sense! Sometimes when you hear something take an extra miles to find out the truth, 90% she speaks TRUTH. I trust her because I found the same information from the reliable sources. So unabaki unashangaa, Sometimes better you stay without trusting her because You might end up Confused!

Zamani Nilijua Ukizaliwa Mwanaume ni Kazi sana, Maana you have to fight on your own 100%.
But Nimekuja kugundua Kuishi duniani nako kuna Changamoto kubwa zaidi kuliko kuzaliwa Mwanaume!
Sometimes Things happen like a Movie! Kuna vitu ukivisikia unaweza ukashindwa kunywa maji, unabaki unamwambia Mungu tusaidie tuvuke salama.

Pale unapozani Mtu kapewa chance kawaida kumbe kapewa kwa sababu ni Mtoto wa nduguye, wakati wewe unadhani ni Mtoto wa ndugu kumbe ni zaidi ya hapo, wakati unataka kuchukulia kawaida unakuta hata kile ulichowaza kumbe ni tofauti.

100% ya watu hasa Viongozi wa Afrika walipingana na Obama, but Wanaishi ktk Maneno ya Obama!

Mungu atunusuru hiki kizazi!
Unaweza ukatamani ukachunge.
 
huwa nawashangaa wanaume mnaopitia huo ukurasa wa huyo binti
 
Hajamzidi Rachel Temu khaaa! Rachel namjua nimesoma nae darasa moja enzi hizo yani ni mwongo mpaka shetani anashangaa! Na mdokozi pia

hhahahahhahah hvyo eee.... maana Mange kakazana anasema ndio yule semausikike
 
mmmh ananichosha anavyokazana na kuongelea chura ya bwana mkubwa... ila anavuka mipaka sana sasa hv..
 
Mi nina wasiwasi siku watu wa Trump wakimdeport atakimbilia wapi manake anasubiriwa kwa hamu wana hasira nae..

nimeona mahali kasema hata akienda kumnyea Trump hawezi rudishwa seuse wa hapa... kasema atachukuliwa ni mpiganaji wa kisiasa anayeeleza ukweli jamii .. so marekani hawawezi muachia aje huku kuuwawa... nikawaza huyu ambae news zake zote anategemea atumiwe kwa umbea na kuzitupia kama zilivyo.. akishushuliwa anajishtukia kwamba kachanganya mada.. nimeshindws kumuelewa.
 
huyo mange nani hamfahamu akili zake? hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…