Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Mi nina wasiwasi siku watu wa Trump wakimdeport atakimbilia wapi manake anasubiriwa kwa hamu wana hasira nae..
Hawezi kurudishwa mkuu msijidanganye .Kwanza analindwa na watoto amewazaa marekani kwahiyo sahau kurudishwa mange. Na watoto Wana uraiya WA marekani
 
Ni sa
Ni sawa na kumwamini makonda
 
Weunahangaikaa napost za MANGE AKILIZENU MOJA.. NASHANGAA MLIOJAZA HUMU MAWAZO YAHUYU BINTI ASIJUA ANACHOFANYA... KILALAKHERI
 
Weunahangaikaa napost za MANGE AKILIZENU MOJA.. NASHANGAA MLIOJAZA HUMU MAWAZO YAHUYU BINTI ASIJUA ANACHOFANYA... KILALAKHERI
we boya kweli unafikiri Mange sio mtu eeh, anapowafukunyua wana CCM ndio dunia inaonesha kilichojificha
 
Kamwambie yeye sasa huko ulikosoma, kakudanganya na bado unamfollow, nenda kapimwe akili
 
Toka aliposema diamond kampa mimba hamisa mabeto na yule modo wa kwenye video ya kwetu na akarudi kufuta post kimya kimya yeye mwenyew toka siku hiyo nikatambua yule mtu anamatatizo ya akili na huwa napitia page yake kama nataka kupumzisha mwili ndo napitia na kutazama kama ukichaa wake haujapona
 
Hahaha hivi Mange na madereva nani ana msambwanda mkubwa ? ukipata jibu huyo ndo anayeongoza kufikiria kutumia hayo
weeeee.. madereva anakimbizana na masoogange.. jamaa kamzidi hadi wife wake
 
Mange ni kamanda tegemeo wa CDM na siku hizi anawapiga sana Lumumba,mlimnyima viti maalum sasa acha awasomeshe namba,mkitaka kumsilence pandeni dau kubwa zaidi ya analopata ufipa!
 
Tutaendelea kumwamini katika hili kwa kuwa hatujaona taarifa ya daktari inayoonyesha kuwa huyo jamaa hakupigwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…