ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
USHABLOCKIWA NINI MKUUMange hayupo humu? Ajitokeze basi maana insta ukim challenge tu ukamshinda ana kublock
NIKUULIZE KITU NAWE KWENYE ILE LIST ORDER HUMO? HAHAHAAAA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USHABLOCKIWA NINI MKUUMange hayupo humu? Ajitokeze basi maana insta ukim challenge tu ukamshinda ana kublock
Kama ulikuwa kichwani mwangu, huwa nashangaa dume zima kumfolo Mangereza huko insta!!huwa nawashangaa wanaume mnaopitia huo ukurasa wa huyo binti
Hawezi kurudishwa mkuu msijidanganye .Kwanza analindwa na watoto amewazaa marekani kwahiyo sahau kurudishwa mange. Na watoto Wana uraiya WA marekaniMi nina wasiwasi siku watu wa Trump wakimdeport atakimbilia wapi manake anasubiriwa kwa hamu wana hasira nae..
Ni sawa na kumwamini makondaMimi huwa simlaumu Mange bali huwa nawapa lawama wanao muamini wakati wengi wanajua ni chizi tena huitaji kumpima.
Mange huropoka yale ambayo wengi wengependa kuyasikia kwa kipindi husika ndio maana wengi humuamini sana.
Mtu anaye amini habari za Mange anapaswa kufungwa kamba na kupimwa akili kwa lazima.
Embu Muulize Mange atakujibu kwa Ufasaha baadae ktk Page yake ya Instagram hakuna asilolijua khs hapa homeHivi hizo 😀😀😀 na :C:C:C zinamanisha nn naona watu wanapenda kuziweka
Hata mimi nlikuwa nashangaa huyo komandoo ataingia na kutoka vp USA akiwa na Mage?eti wamtume komandoo marekani! au usa siku hizi imekua sinza
Weunahangaikaa napost za MANGE AKILIZENU MOJA.. NASHANGAA MLIOJAZA HUMU MAWAZO YAHUYU BINTI ASIJUA ANACHOFANYA... KILALAKHERIMwanadada Mange Kimambi Mtanzania toka Los Angels Aliandika kwamba Petit man ambaye ametuhumiwa na uuzaji na utumiaji madawa. Lakini Mange Kimambi nimeona screenshots kwa whatsapp akisema Huyo Petit man wakuache amepigwa sana na Makonda kuanzia nyumbani kwake mpaka kituo cha polisi cha kati lakini leo nimeona video inayomuonesha Huyo ajiitaye Petit man akitembea vizuri tu je Anadanganya???View attachment 468185
Huyoobomuu mpwaaKama Mange ameshatuambia hatuwezi kubisha wala kukataa😀😀😀
Hata google haijui maana ya hzo D D D D mi naona itakuwa shwaga mpya maana ukiwauliza maana take hawasemiHivi hizo 😀😀😀 na :C:C:C zinamanisha nn naona watu wanapenda kuziweka
kwani inashindikana huyo mange wakimhitajieti wamtume komandoo marekani! au usa siku hizi imekua sinza
we boya kweli unafikiri Mange sio mtu eeh, anapowafukunyua wana CCM ndio dunia inaonesha kilichojifichaWeunahangaikaa napost za MANGE AKILIZENU MOJA.. NASHANGAA MLIOJAZA HUMU MAWAZO YAHUYU BINTI ASIJUA ANACHOFANYA... KILALAKHERI
sijui wewe unaona rahisi wamtume komandooo wa bongo akamchukue mange?kwani inashindikana huyo mange wakimhitaji
Kamwambie yeye sasa huko ulikosoma, kakudanganya na bado unamfollow, nenda kapimwe akiliMwanadada Mange Kimambi Mtanzania toka Los Angels Aliandika kwamba Petit man ambaye ametuhumiwa na uuzaji na utumiaji madawa. Lakini Mange Kimambi nimeona screenshots kwa whatsapp akisema Huyo Petit man wakuache amepigwa sana na Makonda kuanzia nyumbani kwake mpaka kituo cha polisi cha kati lakini leo nimeona video inayomuonesha Huyo ajiitaye Petit man akitembea vizuri tu je Anadanganya???View attachment 468185
Chanzo cha habari kinaitwa mange alafu kipo marakani kwa tbc haipo Hadi uminini huyo mange
hivi mnaaminije mtu anayetumia matako yake kufikiria
weeeee.. madereva anakimbizana na masoogange.. jamaa kamzidi hadi wife wakeHahaha hivi Mange na madereva nani ana msambwanda mkubwa ? ukipata jibu huyo ndo anayeongoza kufikiria kutumia hayo
Tutaendelea kumwamini katika hili kwa kuwa hatujaona taarifa ya daktari inayoonyesha kuwa huyo jamaa hakupigwa!Mimi huwa simlaumu Mange bali huwa nawapa lawama wanao muamini wakati wengi wanajua ni chizi tena huitaji kumpima.
Mange huropoka yale ambayo wengi wengependa kuyasikia kwa kipindi husika ndio maana wengi humuamini sana.
Mtu anaye amini habari za Mange anapaswa kufungwa kamba na kupimwa akili kwa lazima.