Sky Eclat siku zote usijilazimishe kufanana na mtu fulani kimaisha, watu wana siri nzito za mafanikio yao wengine hata amani nayo hawana, heri uwe na kidogo ambacho utakuwa na amani nacho.Mkuu kunasiku niliuliza hapa, ni huu huu mziki ndiyo umenunua nyumba bondeni? Nilisimangwa kuwa nina roho ya korosho.
Eeeeh duuuhSio ametajwa, amekamatwa na mzigo wa unga.
Sisi watu wa Pwani pressure ya maisha ya ajabu hatuna, ukiwa na mahali pa kulala na una uhakika wa kula na kuvaa unamshukuru Mungu.Sky Eclat siku zote usijilazimishe kufanana na mtu fulani kimaisha, watu wana siri nzito za mafanikio yao wengine hata amani nayo hawana, heri uwe na kidogo ambacho utakuwa na amani nacho.
Shemeji pia ni nduguToka lini petit man akawa ndugu yake Diamond?
MabwakuWalshaachana kitambo...sasa hivi wanalea tu mtoto wao bila ndoa
Ina maana wapo lupango?dhamana ni haki kama mashtaka yanaruhusu dhamana,
Rodrigo Durtetewakithibitika wanahusika na poda wazimishwe tuu maana ni heri yule mfilipino aje na huku tuu ili adhabu hii iwe rahisi kutekelezeka
kununua nyumba mkuu sio tatizo kwa hela wanazoingiza yeye na mwenzie tatizo ni nyumba ya thamn gan? kwa ile ya M300 ni sawa kwake. ila ikitokea anahusika wambebe tuu na yeyeMkuu kunasiku niliuliza hapa, ni huu huu mziki ndiyo umenunua nyumba bondeni? Nilisimangwa kuwa nina roho ya korosho.
hahahahah hili zitoMwenzangu nilisikia Rommy alionja mama T.
Na we ndo ushangaeToka lini petit man akawa ndugu yake Diamond?
Sikiliza jina la kwanza kabisa kwenye ile press ya kwanza ya Makonda alafu urudi hapa na mrejesho.Mbona haikuandikwa iyo ama makonda hakujua?
Petit man ni Shemeji kwa esma platnumz, na Rommy Jones ni DJ wa WCB na binamu wa Diamond.Undugu umetoka wapi
Toka lini petit man akawa ndugu yake Diamond?
domo mwenyewe yumo kwenyn list hapa yupo kwa mganga anaogeshwa dawj
Hiyo ndo dawa hapo hakuna namna!!!wakithibitika wanahusika na poda wazimishwe tuu maana ni heri yule mfilipino aje na huku tuu ili adhabu hii iwe rahisi kutekelezeka