Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

Jitu flan malaya liko marekani linatumiwa umbea kwenye simu eti mnaliamini, Huyo Malaya si anapokea udaku tu hata wewe ukimtumia anapost, anajihakikishaiaje wakati yupo marekani.

Kwanza nawaza yani Serikali yote hii huwa anaitusi na viongozi wake, anawavua nguo, mnashindwa kutuma hata komamdoo mmoja tu wale wanaotuoneshaga mbwembwe Taifa wamlete huyu kenge?

Yani mnaweza mkamata Tundu Lissu na akili zake na alie madini katika nchi. Godbless lema kiongozi mwakilishi wa wananchi anaeota ndoto mnashindwa mkamata Malaya flani anaewavua nguo kweli?

Hao interpol kazi yao ni nn? Au Huyu bibi sio mchochezi

Sitaki kuamini mmemshindwa.
Sheria ya marekani inamlinda ndomana ni ngumu kumkamata
 
Nilichogundua uyu dada amejiona ameaminika na watu kwahiyo akisema chochote watu watamwamini,

Pia nilichogundua kuna shida katika wafuasi wake wanashindwa kuchambua ,yaan lolote analose mange basi wanalibeba ,wanasahau naye binaadamu ana madhaifu yake ,na huwenda wakati mwingine akatumia chance ya watu kumwamini akapandikiza yasokuwemo
Hakuna anachosemaga cha uongo au kwakuwa anaichamba hiyo ccm yenu....nyie vijana wa lumumba mna matatizo
 
Mange anakua mbaya akitoa habari zakuiumiza fisiem lakini akitoa za cdm mishiopa huwa inawasimama utadhan wanywaji wa chang'aa. Mange wape zaidi maana hata nyuzi za makongo, Dubai na USA wengine hatukua tunazijua.
Kunywa soda nakuja kulipa
 
Hv Ni kweli kuna baadhi ya great thinkers umu wanasikiliza na kuamini maneno ya mange kimambi!!!!!?
kwa mtu unayemfahamu vzr kimambi utajua kua post zke nyingi uwa znawalenga wale anaowachukia au wenye ugomv nao...na akikuchukia atakutaftia chochote tu chakukusema....
 
Yaani uyu dada siku zote nilikuwa nikimfatilia na kuamini ,ila hili la wema kwakweli nimemvuwa thamani,
Yaan hoja alizokuwa anamtetea wema hazina kichwa wala miguuu ,Simpondi wema hapana wala kufurahia kilichomkuta hapana ,

ila mange alishindwa kujenga hoja za msingi juu ya makonda ,kilichokuwa kinaendelea ,kwavile wema ni wake basi kwa gharama zozote angemtetea hata kama angekutwa na kosa
Nlijua ni watu wazee tu ndo wenye matatizo kufikiria kwa kina na kupima mawazo ya watu na kuchekelewa kujua kuwa MTU mflani ni mpuuzi na mawazo yake ya kipuuzi[emoji117]Mange. Kumbe hadi nyoka_wazee mnakuwa wazito wa fikra hivyo. Ndo najifunza hilo
"unabisha nini wakati Mange ametuambia"
 
It needs more efforts to understand what is spoken by mange kimavi oh sorry I meant kimamvi, oh kimambi
It doesn't take too much time though to understand that mange is a 'low life' desparate, retard, sick, messed-up human being. She is a big-mouthed lunatic who needs a therapist ASAP. She's sick and we're ought to feel sorry for her.
 
Nlijua ni watu wazee tu ndo wenye matatizo kufikiria kwa kina na kupima mawazo ya watu na kuchekelewa kujua kuwa MTU mflani ni mpuuzi na mawazo yake ya kipuuzi[emoji117]Mange. Kumbe hadi nyoka_wazee mnakuwa wazito wa fikra hivyo. Ndo najifunza hilo
Yapo mambo ili uyaseme lazima ujitoe fahamu,maana kwa akili timamu huwezi kuyasema ;
Na ndomana wengi hutumia pombe kufikisha wanayotaka kusema kwa kuhofia lawama ,Ila akinywa hakuna wa kumlaumu zaidi lawama itapewa pombe,

Hata mange wengi wanamtumia kusema au kufichua mambo ambayo wao na akili zao timamu hawawezi,Ila kwavile wengi wanamuona kama chizi ila anafikisha ujumbe mwenye kuelewa ataelewa asotaka kuelewa basi ,
 
Mwanadada Mange Kimambi Mtanzania toka Los Angels Aliandika kwamba Petit man ambaye ametuhumiwa na uuzaji na utumiaji madawa. Lakini Mange Kimambi nimeona screenshots kwa whatsapp akisema Huyo Petit man wakuache amepigwa sana na Makonda kuanzia nyumbani kwake mpaka kituo cha polisi cha kati lakini leo nimeona video inayomuonesha Huyo ajiitaye Petit man akitembea vizuri tu je Anadanganya???View attachment 468185
Usiseme ameudanganya umma sema amewadanganya wajinga wachache wanaomshobokea huko Instagram .

Mange kimambi ni mjinga kama wajinga wengne ambao wanapost picha za uchi za wapenzi wao mitandaoni .
 
Ukiona mtu anamchukia, anamtukana, anamshambulia Mange Kimambi, halafu kumbe hata hamjui, hamhusu . . , ujue huyo mtu akili zake haziko sawa . .
Na vitoto vingi humu JF ndio vinaingia kucheza ngoma visioijua . . Mnatuharibia sana JF . . , sasa pamekuwa hapa ni mahali pa umbea . . , propaganda za kitoto toto tuu . . Aghh . .
 
Mange mara nyingi huwa anakurupuka tu nimeshamfatilia mara kibao anawaletea nyumbu wake habari za uzushi then anazifuta..km jana amewambia manji alipofika central amepewa kiti then akachukua picha ya manji ya uwanja wa taifa anawaminisha nyumbu wake kuwa ni central..ukiwa mfuasi wa mange lazima ujitoe faham kidogo
Screenshot_2017-02-10-09-38-17.jpeg
 
mtu yeyote anaye kaamini haka kadada ni MPUMBAVU,,

OVA
Imagine kapost video inaonyesha shabiki wa yanga akifuta gari la manji skafu ya yanga na inaonekana lkn yeye anawaambia huyo mtu anafuta kwa kutumia skafu ya ccm..nao wakaamini....
kapost tena manji kaka kwa kiti inaonyesha kbs ni uwanjani lkn yy anawaambia kuwa kapewa kiti central akae....she is stypid anadanganya wajinga nao wanadanganyika kwa vitu vinavyo onekana..lkn kwakua ni misukule yake inamuamini wkt nao macho wanayo
 
Back
Top Bottom