Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tetesi kuwa mwanamuziki diamond platnum amenunua hummer aliyokuwa akitumia mchungaji gwajima ambapo inasemekana kauziwa kwa bei ya kutupwa(haijajulikana bei gani). Tunasubiri tu baba ubaya atudanganye kaagiza ulaya milion 400.
Tutakoma mwaka huu na ilo hummer kama nawaona mama ubaya na ndomo mmh

Uwiii kama namuona mama ubaya ndani ya hummer!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

hivi ile ya milion 250 ya kiumbe alinunua, au hii kiki nyingine
Hammer?katika gari naonaga ni kama trekita ndio hizo hazina mpango
Mkuu hapo utakuta Gwanjima anakula Wema! Tusubiri tu.