Diamond kununua hummer ya Gwajima

Diamond kununua hummer ya Gwajima

Mmh jiran mimi mwenyew nimeshtuka apa, gwajima na ndomo wapi na wapi jaman? Kuna kitu nyuma ya pazia we ngoja tu soon tutayajua yaliyojificha

Kabisa jirani, si unajua biashara ile ina mtandao mpana. Kanisani mpaka msikitini, Polisi na jeshini mpaka mahakamani, Bongo fleva mpaka bongo movies, Hospitalini mpaka kwa waganga na wachawi, Mkubwa wao serikali. Mweh!
 
kuna vitu katika maisha inabidi Kuvipa priority. sa ye show off kibao

sijui ka ana mradi gani wowote tofaut na kazi yake ya kuimba.

Si nilisikia wanauza t shirt za wasafi na kofia? Labda kama ana mtaji mwingine
 
Kabisa jirani, si unajua biashara ile ina mtandao mpana. Kanisani mpaka msikitini, Polisi na jeshini mpaka mahakamani, Bongo fleva mpaka bongo movies, Hospitalini mpaka kwa waganga na wachawi, Mkubwa wao serikali. Mweh!

Sasa ndo naanza ku LINK zile tetesi na hili tukio, we ngoja jiran tutasikia mengi tu
 
Hivi kwani hio Hammer limetengezwa ili nani anunue?we ndo uache ushamba kwani kama huna hela wengine wanazo.
Kuna tetesi kuwa mwanamuziki diamond platnum amenunua hummer aliyokuwa akitumia mchungaji gwajima ambapo inasemekana kauziwa kwa bei ya kutupwa(haijajulikana bei gani). Tunasubiri tu baba ubaya atudanganye kaagiza ulaya milion 400.
 
Unaambiwa Akili ni nywele,,,muziki wenyewe una msimu sasa usipoangalia fursa nyingine ndio pale msemo wa"NINGE" unapokuja!!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

ni kweli anapaswa awekeze, hawez jua miaka kumi ijayo atakuwaje, ktk mr nice alikuwa na hera kuliko alizonazo diamond wakati huu, alikuwa anatembea na msafara wa watu zaid ya 15 na cost zote juu yake kufanya starehe, leo hii yuko juu ya magogo hata bodaboda hana.
 
Mi naomba tu iwe tetesi maana watatutesaje akina mama ubaya? Uwiii ntaficha uso wangu wapi mie warumi hater namba moja wa ndomo na mama ubaya, mungu aniepushie mbal na hii aibu iendelee kuwa tetes tu

Hahahaaaaaaaaa uwiiiiiiii mbavu zang mieeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Mmmmhhhh yaan akijenga nyumba ntamuona wa maanaa
 
Kuna tetesi kuwa mwanamuziki diamond platnum amenunua hummer aliyokuwa akitumia mchungaji gwajima ambapo inasemekana kauziwa kwa bei ya kutupwa(haijajulikana bei gani). Tunasubiri tu baba ubaya atudanganye kaagiza ulaya milion 400.

Inawezekana,si Gwajima ana msala wa kumpa mimba mke wa mtu itakuwa kataka nauli tu.
 
dangote ana hela nyingi sana...wiki iliyopita kuna nyumba kanunua masaki milioni 650 ila itatangazwa very soon wakati akitambulisha hiyo hummer ambayo kainunua kwa milion 185

Masaki nyumba milioni 650 duuuh!!!
 
Nakukubar sana maatope un habar xclusive....

pamoja mkuu, nitajitahidi nikupatie kadi siku hiyo uje kwenye utambulisho wa hekalu la msanii bora wa afrika hata youssou n dour anasubiri...kigodoro kitakuwepo pia
 
Back
Top Bottom