zinc
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 1,391
- 1,068
Mmh jiran mimi mwenyew nimeshtuka apa, gwajima na ndomo wapi na wapi jaman? Kuna kitu nyuma ya pazia we ngoja tu soon tutayajua yaliyojificha
Kabisa jirani, si unajua biashara ile ina mtandao mpana. Kanisani mpaka msikitini, Polisi na jeshini mpaka mahakamani, Bongo fleva mpaka bongo movies, Hospitalini mpaka kwa waganga na wachawi, Mkubwa wao serikali. Mweh!