mangelengele
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 1,293
- 1,100
Mkuu una madongo sanaEt PrivateJet, au ilikua simullation c unajua sikuhizi teknolojia imekua tunazo hadi kwenye cm zetu!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Vp ile rolls royce ?
Sasa niiaka mi4 tangu atangaze
Haya yote yamedhihirishwa wazi kwenye ukurasa waka wa IG yaani instagram kwa kuweka picha ya ndege na gari la kifahari na kuandika "Tuseme Inshaallah... [HASHTAG]#2014[/HASHTAG] [HASHTAG]#JusWaitAndSee[/HASHTAG] [HASHTAG]#KwaniWaoWamewezaje[/HASHTAG] [HASHTAG]#HadiWeUshindwe[/HASHTAG] [HASHTAG]#WCB[/HASHTAG] for life Darling....!" akimaanisha ya kwamba mafans wake wakae mkao wa kula na wajionee maajabu na kwamba ile gari ya pesa chafu landcruisser v8 aliyonunua si kitu akisingiziwa na haters eti kakodishwa na chief kiumbe,
OK so kiuffupi ni kwamba itabidi tumpe support kijana wetu wa tz aifanye hii ndoto iwe kweli maana ikitokea hivi sio siri atakua miongoni mwa wasanii waliojipatia mafanikio kuzidi tunavyofikiria
Toa comment kama una nyongeza..
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Vp ile rolls royce ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe nakila mtu atatoa Habari zake mwenyewe siku ile inakuja
Tunaomba lift
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwenye nini?
Mkuu leo watakuelewa maneno yako hayaMbona alipo kwa back ground yake amearchive pakubwa sana? ninachokataa mimi ni haya mashauzi ya kuzungumzia Private Jet hizi ni daylight dream na ukitaka kuamini hilo Google hizo private jet ujionee bei zake.
kuna vitu basic kabisa bado hajafanya halafu analeta mashauzi yake hapa? hivi unadhani Mengi, Manji, Rostam and likes unadhani hawapendi kuwa na hizo private jet? huu ujinga ni vizuri akiwa anashare na mazuzu wenzake hukohuko Instagram lakini siyo kuleta hapa kwa makini.
Bila samahani mkuu ulieleweka vyema sanaNaomba niwe wa mwisho kuamini diamond kununua private jet.
Samahani lakini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda fokker zile za 500,000tsh ambazo serikali iliwahi uza
Ivi unajua thamani ya ndege?? Mpk ndomo aweze kuwa nayo? Sio makalio hayo
Umetisha kakatusiwe na akili mgando, tuzungumze kwa facts. anaposema 2014 that means he dreams to buy it in 2014 which will always be a dream.
tuangalie facts;
kipato chake kikubwa ni shows na ubalozi wa makampuni.
sidhan kama amewah kufanya show akalipwa zaidi ya 40mil. sasa let me assume this year atakuwa analipwa 50m which is likely to be impossible.
within a year nampa kila siku awe anapiga show moja that means 365 shows (ambayo kama ikitokea atakuwa kavunja rekodi ya dunia).
that means atakuwa kapata kama 18.2bil ambayo sidhan kama inaweza ikanunua hiyo jet.
kwa uwezo wake wa sasa hata akipewa tu hiyo jet awe anaihudumia jasho la meno litamtoka.
AHADI: Kama ndani ya miaka mitano ataweza kununua hiyo jet ntakunya vifungu vidogo vidogo hapa hadi chalinze mzee
20042014 au miaka inarudi nyuma
Mbona na wewe sikuelewi?2004