tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Hahhhhahhhahhha jamanii mi hua siendi kanisanii yaan una matani wewe mpaka nakuogopaa
Nakutania ila jet lazima inunuliwe hata ya kuchora akishindwa atakodisha ile ya raisi wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhhhahhhahhha jamanii mi hua siendi kanisanii yaan una matani wewe mpaka nakuogopaa
Nakutania ila jet lazima inunuliwe hata ya kuchora akishindwa atakodisha ile ya raisi wetu
wala bana ni laki 5 mbona
serikali iliuza tatu???????
umesahau??
Wanaume tunapata hela kwa kuvuja jasho sasa unafikiria almasi n ---- akate kiuno peke yke then ampangie madam jumba wakti yeye amepanga? Naona ilikua sound 2 n madam ameona bora aliwe kwa credit bora liende.
Atoe gundu la 2014 mana mabalaa yalikua mengi
Thank you dear. You're just great my angel. Sometimes it's necessary to bring sanity into these blown up kids.
Labda nitabahatika japo kuwa mfagizi kwenye hiyo ndege ya Diamond![]()
Haya yote yamedhihirishwa wazi kwenye ukurasa waka wa IG yaani instagram kwa kuweka picha ya ndege na gari la kifahari na kuandika "Tuseme Inshaallah... #2014 #JusWaitAndSee #KwaniWaoWamewezaje #HadiWeUshindwe #WCB for life Darling....!" akimaanisha ya kwamba mafans wake wakae mkao wa kula na wajionee maajabu na kwamba ile gari ya pesa chafu landcruisser v8 aliyonunua si kitu akisingiziwa na haters eti kakodishwa na chief kiumbe,
OK so kiuffupi ni kwamba itabidi tumpe support kijana wetu wa tz aifanye hii ndoto iwe kweli maana ikitokea hivi sio siri atakua miongoni mwa wasanii waliojipatia mafanikio kuzidi tunavyofikiria
Toa comment kama una nyongeza..
ana mbwembwe hatar, kuna siku nilipita kwake alipopanga nikakuta wanacheza ngololo na ma dancer wake c nikaanza kuchungulia walau nipate habar, yani umbea huu mwaka nisipomwagiwa tindali Sijui.
Hahahaahaha