Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
H.O.D huyooo
Hahhhhhahha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
H.O.D huyooo
Ulinzi ? Utokee wapi? Napitag hakuna cha walinz wala mmasai getin kwanza mtaa mzima nyumba yake ndo uchafu muulizeni heaven on desert maana hata kuipiga picha hajawahi kazi kupiga kwenye mahotel ya watu
Ulinzi ? Utokee wapi? Napitag hakuna cha walinz wala mmasai getin kwanza mtaa mzima nyumba yake ndo uchafu muulizeni heaven on desert maana hata kuipiga picha hajawahi kazi kupiga kwenye mahotel ya watu
Si nasikia kuna ulinzi wa rais hautii mguu sasa ulinzi wote huo unaozidi wa ikulu we ulisogeleajee..hahahah ndomo bana
Apartment apate wapi, na show zimegoma, mademu wa mjini hawaelewi kama haingizi hela tena, wanajua kutumia tu, na nyumba itaendelea kusimama, kukopa hawezi sababu alimponda Alli Kiba, Riz1 aka m mind, ILA alimkaribisha akakope.
Mmmhh mbona nyumba yenyewe ya kawaida tu huo ulinzi utoke wapiiii
Mitoto hii ya jalalani ina shida sana
Nikasema nichungulie nione yaliyomo kama yamo, kwa kweli pa kawaida ukilinganisha na tambo zake mitaani maana fenci hata rangi haijapakwa, hata nyumba anayokaa lulu haifikii , huyu super star wetu hatar , siku nikipita nitapiga picha binamu niilete humu
Hahahah mi ntabishaje binamu wakati huyo ndomo sijawahi hata kumuona live sembuse Nyumba yake?
hahahah
H.O.D huyooo
Mitoto hii ya jalalani ina shida sana
Binamu hebu muite kuna swali nataka kumuuliza
Akinunua ndege! Maprofesor na wanasiasa wote wataacha uprofessor watakuwa wanamuziki!
kashindwa kununua gari lile la chief kiumbe ambalo thamani yake ni mil 250 nadhani ndege itakua mil 50 hiv
Huyo rz1 si alikuwaga anamhonga kwanini hakumpa nyumba kabisa?
Akili za wasanii wetu huwa nazifananishaga na kuku tetea akipigwa jiwe anakimbia lakini baada ya dakika 2 anarud hapohapo kula mtama hahaha