Diamond Kununua Private Jet Ndani ya Mwaka Huu (2014)

Diamond Kununua Private Jet Ndani ya Mwaka Huu (2014)

Yale yale ya kukarabati nyumba yakupanga na kuweka vikorokoro wakati huna hata kiwanja lmao.
 
Hao wanaowabebesha sembe wao wenyewe hawa jeuri hiyo sembuse huyu dogo?

Jaribuni kutofautisha kati ya Private jet na charter plane.

Elimu ni nzuri sana, ivi ile ndoto yake ya kujenga msikiti iliishia wapi?
 
Mbona alipo kwa back ground yake amearchive pakubwa sana? ninachokataa mimi ni haya mashauzi ya kuzungumzia Private Jet hizi ni daylight dream na ukitaka kuamini hilo Google hizo private jet ujionee bei zake.

kuna vitu basic kabisa bado hajafanya halafu analeta mashauzi yake hapa? hivi unadhani Mengi, Manji, Rostam and likes unadhani hawapendi kuwa na hizo private jet? huu ujinga ni vizuri akiwa anashare na mazuzu wenzake hukohuko Instagram lakini siyo kuleta hapa kwa makini.

Khaa !! Kutiririka kisa nini ? Wivu? Kasema inshallah Mwenyez Mungu akipenda we shida yako nini? Kwani hawezi kumzidi mengi na wengine? Hata wewe ukijituma na kuachana kukaa kwenye viti virefu utafika unapotaka kwenda. Kila mtu anaweza kufikia lengo kazi kwako
acha uhater

The king.
 
Utawaweza watz ..kwanza hiyo post ina week ngapi sijui insta..na ndoto zake ni siku moja amiliki private jet,hajasema mwaka huu anannunua na inaweza ikatimia pia
kwa miaka 4 iliyopita
kipindi analipwa elfu 1500 kwenye kibarua..enzi hizo angesemandoto zake aje amiliki
gari si angeonekana kichekesho>??
lakin now kwake kununua gari ni kawa anaenda kununua ndala kariakoo
..so kila kitu kinawezekana

Kumbe upo...
 
Aisee kumbe uji ulichemka tenaa nimecheka sanaa lol
 
Jamani huyu kaka muongo, nyooo maneno yote haya kumbe anasoma, lione

Unafikiri hua hasomii anasoma sanaa uzuri wa HOD ni mpolee hiv ashawah hata kupata ban ya kusingiziwaa
 
Diamond anunue jet wakati V8 imemshinda, nyumba kumalizia issue, maneno meengi kumbe anavuda wadada wamchangamkie, ajifunze kwa Masanja haongei ni vitendo tu. LMAO
 
Diamond anunue jet wakati V8 imemshinda, nyumba kumalizia issue, maneno meengi kumbe anavuda wadada wamchangamkie, ajifunze kwa Masanja haongei ni vitendo tu. LMAO

Tumechoka binamu aiseeh , hata mirad ya maana hana maana tungejua tu, nyumba yenyewe kumalizia ishu nasikia anapigaga picha nyumba yake sehemu tofauti tofaut halaf anadanganya ana nyumba nyingi jaman utoto huu, Mimi nina mashaka hata hyo nyumba anayojenga kama ni yake
 
Wabongo wanamsifia mpaka kero, siyo kama hatupendi maendeleo yake ILA uongo umezidi, ile v8 walipamba eti amenunua 250M kumbe gari inauzwa 100,100,000. Nayo imemshinda kununua, sisi wenyewe tunamiliki magari tunajua bei zake, bora amdanganye mtu kuliko kudanganya ktk mtandao, atulie tu au akajiunge kwenye taasisi ya Ridhiwani akope kama wenzie amalizie nyumba, asitudanganye amelipwa sana show za hapa 10M.
 
Yale yale ya kukarabati nyumba yakupanga na kuweka vikorokoro wakati huna hata kiwanja lmao.

ana mbwembwe hatar, kuna siku nilipita kwake alipopanga nikakuta wanacheza ngololo na ma dancer wake c nikaanza kuchungulia walau nipate habar, yani umbea huu mwaka nisipomwagiwa tindali Sijui.
 
ana mbwembwe hatar, kuna siku nilipita kwake alipopanga nikakuta wanacheza ngololo na ma dancer wake c nikaanza kuchungulia walau nipate habar, yani umbea huu mwaka nisipomwagiwa tindali Sijui.

Umenichekeshaa hahhhahha duuu mpaka ukachunguliaaa angaliaa binamu utamwagiwaa tindikali sie tukose uhondo humuu!!!!
 
ana mbwembwe hatar, kuna siku nilipita kwake alipopanga nikakuta wanacheza ngololo na ma dancer wake c nikaanza kuchungulia walau nipate habar, yani umbea huu mwaka nisipomwagiwa tindali Sijui.

Si nasikia kuna ulinzi wa rais hautii mguu sasa ulinzi wote huo unaozidi wa ikulu we ulisogeleajee..hahahah ndomo bana
 
Tumechoka binamu aiseeh , hata mirad ya maana hana maana tungejua tu, nyumba yenyewe kumalizia ishu nasikia anapigaga picha nyumba yake sehemu tofauti tofaut halaf anadanganya ana nyumba nyingi jaman utoto huu, Mimi nina mashaka hata hyo nyumba anayojenga kama ni yake

Si nilisikia ana apartments anapangisha?
 
Si nasikia kuna ulinzi wa rais hautii mguu sasa ulinzi wote huo unaozidi wa ikulu we ulisogeleajee..hahahah ndomo bana

Ulinzi ? Utokee wapi? Napitag hakuna cha walinz wala mmasai getin kwanza mtaa mzima nyumba yake ndo uchafu muulizeni heaven on desert maana hata kuipiga picha hajawahi kazi kupiga kwenye mahotel ya watu
 
Last edited by a moderator:
Umenichekeshaa hahhhahha duuu mpaka ukachunguliaaa angaliaa binamu utamwagiwaa tindikali sie tukose uhondo humuu!!!!

Nikasema nichungulie nione yaliyomo kama yamo, kwa kweli pa kawaida ukilinganisha na tambo zake mitaani maana fenci hata rangi haijapakwa, hata nyumba anayokaa lulu haifikii , huyu super star wetu hatar , siku nikipita nitapiga picha binamu niilete humu
 
Si nilisikia ana apartments anapangisha?

Apartment apate wapi, na show zimegoma, mademu wa mjini hawaelewi kama haingizi hela tena, wanajua kutumia tu, na nyumba itaendelea kusimama, kukopa hawezi sababu alimponda Alli Kiba, Riz1 aka m mind, ILA alimkaribisha akakope.
 
Back
Top Bottom