warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Yaan hiyo must binamu pigia mstarHaya utaturushiaaa mwayaaa tuipimeee hiv anatoka mwez wa 6 hiyo nyumbaa au siku anahama binamu yaan niite hata kwa kipaza sautii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan hiyo must binamu pigia mstarHaya utaturushiaaa mwayaaa tuipimeee hiv anatoka mwez wa 6 hiyo nyumbaa au siku anahama binamu yaan niite hata kwa kipaza sautii
Kuna kipind niliwaona riz na ndomo kwa kina lulu walikuwa na Benz nyeus, cjui ubest wao uliishia wapi maana apa town kuna mambo
Nasikia kuna mtu alikuwa anaonesha kisogo binamu
Mkuu kama sijakusoma apo kwenye kuonyesha kisogo
Mkuu kama sijakusoma apo kwenye kuonyesha kisogo
Mahaba niuwe binamu mpaka watoto wasikieee? hahahah sie wakubwa twaongea kwa tasfida
Malizia mmoja wapo anapumuliwa kisogoni lol
Mahaba niuwe binamu mpaka watoto wasikieee? hahahah sie wakubwa twaongea kwa tasfida
View attachment 138998
Labda hio anunue
hii sh ngapi??
Almasi atakua ameota amenunua mafuta ya jet aweke kwenye prado lake badala ya petrol au diesel
nahisi anamaanisha 0712Mkuu kama sijakusoma apo kwenye kuonyesha kisogo
We dina hana kanisani huendi au unasalia jf nini
Laki 2