Diamond Kununua Private Jet Ndani ya Mwaka Huu (2014)

QUOTE="monaco, post: 26644441, member: 105291"]Oook Sory Mkuu Naona umemaanisha kiimani zaidi...nilikuwa namaanisha Alaaa....yaani Kushtushwa na jambo Flani![/QUOTE]
Hata mm nilihisi hivyo mkuu.......asante pia kwa kunielewa
 
v8 lipo wapi kwanza halafu ndio tuje kwenye ndege
 
Nadhani ndiye msanii tajiri kuliko wote Tanzania
 
Mbwembwe bila vitendo ni sawa na kupaka ranging upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…