Diamond Kununua Private Jet Ndani ya Mwaka Huu (2014)

Mbona alipo kwa back ground yake amearchive pakubwa sana? ninachokataa mimi ni haya mashauzi ya kuzungumzia Private Jet hizi ni daylight dream na ukitaka kuamini hilo Google hizo private jet ujionee bei zake.

kuna vitu basic kabisa bado hajafanya halafu analeta mashauzi yake hapa? hivi unadhani Mengi, Manji, Rostam and likes unadhani hawapendi kuwa na hizo private jet? huu ujinga ni vizuri akiwa anashare na mazuzu wenzake hukohuko Instagram lakini siyo kuleta hapa kwa makini.
Manji ana private jet mkuu fuatilia ujue
 
We endelea ku google,
 
Gharama za kumiliki private jet kwa mwaka ni kati ya dola 700000 na dola ml 4000000 kulingana na aina ya ndege!....kwa kipato gani kwa mwaka!!
 
kweli kabisa atanunua maana leo ni 2013 tusubiri 2014 ikifika atanunua tu 😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom