SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Dimondi na yeye siku hizi hapendi show off kama kiba kanunua private jet kimya kimya
Monde kakulia uswahilini na bado tabia za kishamba hazijamtoka
Kukatika viuno mbele ya watoto wadogo,kutangaza kwenye media kila anaekuwa mchumba wako na kuwa mahirikinaMkuu tabia za kishamba ndio zipi?
Dengelua Airlines
Hahaha post nyingine za kikuma Sana, Kama hii sasa
πππHahaha post nyingine za kikuma Sana, Kama hii sasa
Tatizo mnamtukuza sana kuliko MUNGU nyie sijui ndo washabiki wake
πππππNdege Tausi au kitu gani?
Ndege Tausi au kitu gani?