Umenena vema kaka,kila mtu ana ndoto zake in life,kama huna ndoto ya kuwa mtu fulan,kumiliki kitu fulan bac unaishi ili iweje!kutimiza neno tu au!hata hao wanaotimiza neno ndoto za wakaishi paradiso au pepon na kumuimbia bwana,uki workhard na kuset goals zako vizur kwann usiwe na ndoto ya kuwa bakharesa!jide ktk wimbo wake wa mawazo aliomshirikisha Ay kayasema hayo yot wimbo unaitwa MAWAZOnitofautishie wewe
unajua kila mtu anakuwa na malengo katika maisha lakin si lazima ulipangalo litimie
but ile kind of thinking kwamba I want to do this and this ni nzuri atleast unaonekana una focus
na hivi 'baby' keshamnunulia wema vifaa vya ofisi yake? nimesubiri two weeks sijasikia habari?
nimepitwa eeenh?!?
Vya wapi domo mwingine!!!!! vifaa ni kupigwa mashine tu basi
Inshallah...
Kwahiyo H.O.D ataanza kupiga picha akiwa ndani ya ndege?!
tutamkoma wallah hayo mapicha humu tutakimbia jukwaa....
Ha ha ha sijui imekuwaje hadi hii nyuz hajaileta yeye sijui anaumwa
sijui yupo Bize....
Inshallah...
Kwahiyo H.O.D ataanza kupiga picha akiwa ndani ya ndege?!
tutamkoma wallah hayo mapicha humu tutakimbia jukwaa....
Duh wabongo kwl tumerogwa tukarogeka km v8 kaazima kwa Chief Kiumbe ivi Jet mnadhani pakti ya kijoti cha Azam mnamtafutia lawama Platnumz hapa hajasema kuhusu yy kununua private jet mwaka huu mbn aliwahi weka picha ya Buggati akasema ivo2 acheni eti sawa ana mafanikio ila mnampa kesi hapa..hapa ndo tunasema mmenukuhu vibaya.
Na ramaa ashanunua tayarii
Utawaweza watz ..kwanza hiyo post ina week ngapi sijui insta..na ndoto zake ni siku moja amiliki private jet,hajasema mwaka huu anannunua na inaweza ikatimia pia
kwa miaka 4 iliyopita
kipindi analipwa elfu 1500 kwenye kibarua..enzi hizo angesemandoto zake aje amiliki
gari si angeonekana kichekesho>??
lakin now kwake kununua gari ni kawa anaenda kununua ndala kariakoo
..so kila kitu kinawezekana
Ndo maana nakukubali H.O.D habari zako ni uhakika 800%
Ila bado nimekuuliza una tatizo gani na mimi...na ckai mtu kucoment kunihusu,acoent atakavyo but kwan huwez kucoment kwa busara na kwa nia njema tu kana kwamba una ugomvi nami?
tusiwe na akili mgando, tuzungumze kwa facts. anaposema 2014 that means he dreams to buy it in 2014 which will always be a dream.
tuangalie facts;
kipato chake kikubwa ni shows na ubalozi wa makampuni.
sidhan kama amewah kufanya show akalipwa zaidi ya 40mil. sasa let me assume this year atakuwa analipwa 50m which is likely to be impossible.
within a year nampa kila siku awe anapiga show moja that means 365 shows (ambayo kama ikitokea atakuwa kavunja rekodi ya dunia).
that means atakuwa kapata kama 18.2bil ambayo sidhan kama inaweza ikanunua hiyo jet.
kwa uwezo wake wa sasa hata akipewa tu hiyo jet awe anaihudumia jasho la meno litamtoka.
AHADI: Kama ndani ya miaka mitano ataweza kununua hiyo jet ntakunya vifungu vidogo vidogo hapa hadi chalinze mzee