baby boy17
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 297
- 116
Ntafute nikuelekezeNimepotea njia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntafute nikuelekezeNimepotea njia
Ushabiki maandazi sasa umepitiliza na unawapeleka pabaya baadhi yetu.
Ikifika binadamu tunashabikia uzinzi basi fuse zetu kichwani zimefyatuka.
Nampa hongera sana Diamond mpaka leo hajazaa kabla ya kufunga ndoa na ndio maagizo ya Mungu.
Wengi wenu humu mnajitia upambe mavi hamjui matatizo na madhara ya watoto wanaozaliwa bila ndoa, jambo hili likutokee tu kama ajali tu si kitu cha kufurahia kamwe.
Wenye akili timamu mtakuwa mmenielewa.
na ali kiba ana watoto watatu nje ya ndoa, ila ye sio dhambi kwakua unamshabikia au sio mkuu Matola ? amewatangaza watoto wake na mara nyingi amewaongelea kwene IG yake..hivi kwanini unamchukia diamond eti? mi nlijua hukubali nyimbo zake tu kumbe kila kumbe kila kitu.. Matola niambie hapa kwanini unamchukia diamond, maana kila penye habari ya diamond we ni kuangalia negatives, watu tumeanza kuhisi you are " Obsessed " with him. Nisaidie usipige chenga, nimeongea mengi ila nataka kujua kwanini unamchukia diamond?Ushabiki maandazi sasa umepitiliza na unawapeleka pabaya baadhi yetu.
Ikifika binadamu tunashabikia uzinzi basi fuse zetu kichwani zimefyatuka.
Nampa hongera sana Diamond mpaka leo hajazaa kabla ya kufunga ndoa na ndio maagizo ya Mungu.
Wengi wenu humu mnajitia upambe mavi hamjui matatizo na madhara ya watoto wanaozaliwa bila ndoa, jambo hili likutokee tu kama ajali tu si kitu cha kufurahia kamwe.
Wenye akili timamu mtakuwa mmenielewa.
Mtoto sio nguo
...Ukaomba mtuu!
Uwiiiiiii,masikini Wema sijui ana hali gani huko aliko.Inauma sana uachane na mwanaume ampate mkali zaidi yako,sasa mimba juu!
na ali kiba ana watoto watatu nje ya ndoa, ila ye sio dhambi kwakua unamshabikia au sio mkuu Matola ? amewatangaza watoto wake na mara nyingi amewaongelea kwene IG yake..hivi kwanini unamchukia diamond eti? mi nlijua hukubali nyimbo zake tu kumbe kila kumbe kila kitu.. Matola niambie hapa kwanini unamchukia diamond, maana kila penye habari ya diamond we ni kuangalia negatives, watu tumeanza kuhisi you are " Obsessed " with him. Nisaidie usipige chenga, nimeongea mengi ila nataka kujua kwanini unamchukia diamond?
Uwiiiiiii,masikini Wema sijui ana hali gani huko aliko.Inauma sana uachane na mwanaume ampate mkali zaidi yako,sasa mimba juu!
Uwiiiiiii,masikini Wema sijui ana hali gani huko aliko.Inauma sana uachane na mwanaume ampate mkali zaidi yako,sasa mimba juu!
nani alimwambia mayai yake akaangie chips??
hawana mtoto. labda wanategemea kupata mtoto.
nani alimwambia mayai yake akaangie chips??