Diamond kupata mtoto

Ushabiki maandazi sasa umepitiliza na unawapeleka pabaya baadhi yetu.

Ikifika binadamu tunashabikia uzinzi basi fuse zetu kichwani zimefyatuka.

Nampa hongera sana Diamond mpaka leo hajazaa kabla ya kufunga ndoa na ndio maagizo ya Mungu.

Wengi wenu humu mnajitia upambe mavi hamjui matatizo na madhara ya watoto wanaozaliwa bila ndoa, jambo hili likutokee tu kama ajali tu si kitu cha kufurahia kamwe.

Wenye akili timamu mtakuwa mmenielewa.
 

maoni yako yanaheshimiwa kama ya mtu yeyote yule. pia usisahau kuwa si kila mtu ni muumini wa ndoa au huyo Mungu alietoa maagizo hayo unayosema.
 
na ali kiba ana watoto watatu nje ya ndoa, ila ye sio dhambi kwakua unamshabikia au sio mkuu Matola ? amewatangaza watoto wake na mara nyingi amewaongelea kwene IG yake..hivi kwanini unamchukia diamond eti? mi nlijua hukubali nyimbo zake tu kumbe kila kumbe kila kitu.. Matola niambie hapa kwanini unamchukia diamond, maana kila penye habari ya diamond we ni kuangalia negatives, watu tumeanza kuhisi you are " Obsessed " with him. Nisaidie usipige chenga, nimeongea mengi ila nataka kujua kwanini unamchukia diamond?
 
Last edited by a moderator:
Uwiiiiiii,masikini Wema sijui ana hali gani huko aliko.Inauma sana uachane na mwanaume ampate mkali zaidi yako,sasa mimba juu!
 
Less than six months tayari wana mtoto!!! Huu uhusiano unaenda kwa kasi ya ajabu, nawaza tu hapa nini kipo nyuma ya kasi hii.
 

Bahati mbaya umegoma kuielewa mantiki yangu maana hata mashoga pia wanalilia haki zao za kusodomwa.

Fuatilia post zangu mmu kuhusu swala la watoto kabla ya ndoa utaujuwa msimamo wangu ni upi?

Kuna kina Kiranga humu hawaamini Mungu wao kwahiyo neno langu siyo sheria nilichosema nampongeza Daimond kwa kutozaa kabla ya ndoa maana inaonekana sasa kama plessure ya wapambe kumfanya Daimond naye awe baba wakati kwa mtazamamo wangu ni kwamba ni fahari kuitwa Baba ndani ya ndoa.

Kama huku ndio kumchukia Daimond basi nihesabu mimi namchukia huyo dogo.

Usichokijuwa ni kitu kimoja tu maandishi tunayoandika hapa ni urithi kwa kizazi kijacho watasoma hapa wapo watakaoniona mimi nilikuwa kama nabii kusisitiza kwa ambaye haijamtokea bahati mbaya bado wake kwa waume wajitunze mpaka watakapokuwa wamefunga ndoa, single parents ni janga tayari kwa Taifa si jambo la kujionea fahari.

Failure za Ally Kiba haziwezi kuwa ni usahihi kwangu, kamwe siwezi kufanya ujinga kama wa Kiba kuzaa na wanawake watoto watatu kila mtoto na mama yake, hell no.

Mtu kama Ally Kiba definetely hana sifa ya kuja kuchumbia kwenye familia yetu hata siku moja.

Atafanikiwa kimuziki lakini kifamilia tayari amechacheza mansantula.

Kwa wanaodhani mwanamke mwenye watoto watatu na mume walietengana naye hana fillings naye tena ni kuzidanganya akili zenu tu za kuvukia barabara.
 
Last edited by a moderator:
Less than six months tayari wana mtoto!!! Huu uhusiano unaenda kwa kasi ya ajabu, nawaza tu hapa nini kipo nyuma ya kasi hii.

hawana mtoto. labda wanategemea kupata mtoto.
 
Uwiiiiiii,masikini Wema sijui ana hali gani huko aliko.Inauma sana uachane na mwanaume ampate mkali zaidi yako,sasa mimba juu!

Tumbo la kuhara lazma likushike plus kutojisikia kufanya chochote...kwa kfupi unakuwa na siku mbaya...I can imagine bidada...anahali gani
 
Duh hii siielewi kumbe wako serious kiasi hiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…