Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwanini tu Zari awe na mission binafsi na kaka Chibu itayompelekea kuanguka kimuzki? kwa lipi Chibu alomfanyia, washawahi Kukosana? kabla ya Zari iv Chibu alishawahi kupiga show UG? Zari alishasababisha anguko la wasanii gan kabla ya kumuangusha Chibu??
wakina nani hua hawasemi? his account, his babe, his fans, his followers anaweza akaweka chochote anachotaka ( ki-civilized zaidi ). How disturbing was that image to you (manake swali litakuja, ooh ye ni public figure kwanini aweke ile?)??? Je ile picha ilikua na contents ambazo jamii (kimaadili) haitakiwi kuziona?Huwezi kuweka picha ya embryo hadharani kiasi hiki.....huu ni ulimbukeni
Watu huwa hawasemi kabisa
Ukuaji wa mtoto una changamoto nyingi
Do ur home work, huyu Ivan na utajili wote alionao na watoto waliozaa pamoja na kuwa na elimu ya chuo kikuu na kumiliki taasisi za kisomi kimemshinda nini ndio urudi kwa ndugu yetu Mondi ambaye bila muziki kwenye soko la ajira hayumo.
Really?? Am dissapointed Freeland ...You are being argumentative mkuu ( sio mbaya lakini ), I was expecting more than that following your previous postsKiafrika na kitanzania haishauriwi
Unachoshindwa kitambua ni kwamba mapenzi hayaangalii degree wala mali
Mapenzi ni kitu cha tofauti sana.
Kuwa hater kusikufanye uone kwamba Dai ni wa hovyo kiasi hicho
Do ur home work, huyu Ivan na utajili wote alionao na watoto waliozaa pamoja na kuwa na elimu ya chuo kikuu na kumiliki taasisi za kisomi kimemshinda nini ndio urudi kwa ndugu yetu Mondi ambaye bila muziki kwenye soko la ajira hayumo.
BestOfMyKind Kiafrika na kitanzania haishauriwi mkuu
Sasa hayo ya kina blue nani sijui orange nini nakuachia wewe
Sasa hayo ya kina Blue sijui orange niniB estOfMyKind
Shabash!....
Eti hater nimchukie Diamond for what? Kuna mabilionare hapa kina Bakhresa kwa nini wasichukiwe wao? Ujinga huu.