Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwanini tu Zari awe na mission binafsi na kaka Chibu itayompelekea kuanguka kimuzki? kwa lipi Chibu alomfanyia, washawahi Kukosana? kabla ya Zari iv Chibu alishawahi kupiga show UG? Zari alishasababisha anguko la wasanii gan kabla ya kumuangusha Chibu??
Do ur home work, huyu Ivan na utajili wote alionao na watoto waliozaa pamoja na kuwa na elimu ya chuo kikuu na kumiliki taasisi za kisomi kimemshinda nini ndio urudi kwa ndugu yetu Mondi ambaye bila muziki kwenye soko la ajira hayumo.

