Diamond kupata mtoto

Diamond kupata mtoto

Hizi timu zinakoelekea kubaya... Huenda sisi mashabiki tunajenga au tunabomoa kabisa.

Kama Diamond alipost hii picha kwa kumjibu Alli kiba zile picha za watoto au kuwajibu wanaomwita MGUMBA.... ALIKOSEA SANA.

Kama kweli kasababisha kwa Zari , hakukua na haja kabisa ya kuanza tapatapa. Angetulia tuli ,, ije ituchukue kama bonge la surprise. Sasa hapa kashawapa ulaji waganga.,, haters watafanya lolote wawezalo. Sijui.

naona akili ilikuwa kumjia baadae aidha kwa kushauriwa na watu but was too late, lets hope Mungu atawalinda against all evils.
 
Yes honey angalia vizuri hiyo picha kapiga zari (kuna kidole cha kike hapo) akamtumia mondi,Mondi naye akaturusha roho.

Kama zari akijifungua kweli mie nitasubiria wakati wa matokeo ya DNA
 
Last edited by a moderator:
Huwezi kuweka picha ya embryo hadharani kiasi hiki.....huu ni ulimbukeni

Watu huwa hawasemi kabisa

Ukuaji wa mtoto una changamoto nyingi
 
kweli kabisa, hapa dogo kaanguka kabisa wala sio kuteleza, nadhani amepost kukata vidomo domo vya watu lakini hakufikiria vizuri ndio maana naona kama alipanic flani, haukuwa muda sahihi kabisa wa kuweka haya mambo hadharani.

Na ukitaka kufikiria ki great thinker haswaaa... Unakuja gundua kwamba Zari ni hatari kuubwaaa kwa Diamond ndan ya muda mfupi ujao.
 
Ukweli anaujua Mwenyezi mungu kama anauweza wa kumpa mtu ujauzito au laa,na vile vile nimapema sana kusema kama hazai kwani umri wake bado na sidhani kama linamumiza kichwa hilo kwa sasa zaidi ya mziki......
Wanaotumia kichwa kufikiri badala ya matumbo walishajiuliza, miongoni mwa mademu ambao Chibu amepitia kv Wema, Jokate, Penny, Wolper, Najma na wengine sawa na wao ni nani miongoni mwao tumepata kushuhudia au kusikia amebeba mimba kutoka kwa wanaume wengine ambao wameshiriki nao... tukimchukua Wema ambae tunaweza kusema ni Bi. Mkubwa; kabla ya kukutana na Chibu amekuwa na uhusiano na Kanumba, Charlz Baba, Mwinyi, TID na Mr. Blue... je, huko kote Wema ameacha watoto wangapi!? Mtu akipata jibu na akaendelea kutumia akili zake sawa sawa ndipo anaweza kuhoji wal wanaosema Chibu hana uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito wanatumia vigezo ikiwa wanawake wenyewe ndo hao, wamepita huku na kule lakini hatujawahi kuzisikia hizo mimba... mtu anayetumia akili yake sawa sawa anaweza kuhoji hivi miongoni mwa hao mademu tuliowataja hapo juu ni nani iongoni mwao anaonekana kwamba yupo tayari kuachana na ujana akaanza kulea!!!!

Anyway, hakuna asiyefahamu kwamba watu hivi sasa wameishiwa na hoja... wametoka kwenye muziki, mara hotel za Mbeya, mara anatembea na mwanamke mtu mzima, mara hana uwezo wa kupiga mtu mimba... yote ukiyaangalia ni ujinga mtupu! Na hata pale itakapothibitika kwamba kweli Zari ni mjamzito na hatimae akajifungua bado watasema mtoto sio wa Diamond... wenye akili zao nalo wataona ni ujinga vile vile coz' hamna hata moja linalosemwa juu yake ambalo limewahi kumdhoofisha kwenye kazi zake!!!
 
Zarinah kwa mondi ni bomu linalosubiri kulipuka.Yule mama ana malengo yake usimuone mjinga au labda kakolewa na mapenzi.
Let's wait then....

Nawaza kama wewe...
 
Nawaza kama wewe...

Hapana msifikilie hicho zari ana upendo wa dhati nachoamini ndio maana kaamua kuzaa naye! Kwa nn asingezaa nao kabla ya daimond. Kwa jicho langu naona zari anampenda zari kwa dhati kabisa
 
naona watanzania hatuna uzoefu wa masuperstars,katokea Daimond tunajikanyagakanyaga kila mtu mjuaji-ukweli ni Daimond ana washauri ambao wanauzoefu wanamuweka mbele katika game
 
naona watanzania hatuna uzoefu wa masuperstars,katokea Daimond tunajikanyagakanyaga kila mtu mjuaji-ukweli ni Daimond ana washauri ambao wanauzoefu wanamuweka mbele katika game

nina kichwa kigumu hata sijakuelewa..
 
Hapana msifikilie hicho zari ana upendo wa dhati nachoamini ndio maana kaamua kuzaa naye! Kwa nn asingezaa nao kabla ya daimond. Kwa jicho langu naona zari anampenda zari kwa dhati kabisa

Zari amezaa na Diamond lini na wapi?
 
Kwanini tu Zari awe na mission binafsi na kaka Chibu itayompelekea kuanguka kimuzki? kwa lipi Chibu alomfanyia, washawahi Kukosana? kabla ya Zari iv Chibu alishawahi kupiga show UG? Zari alishasababisha anguko la wasanii gan kabla ya kumuangusha Chibu??
 
Back
Top Bottom