Diamond kupiga shoo ya bei ghali zaidi kuwahi kutokea katika historia ya Muziki wa Tanzania

Si alisema atafanya video nyingine baada ya kuona ile imechuja haraka???
Hilo hawalisemi kazi kuikomalia video ya mwana

Video ya mwana ally k cjui kakosa hela
 
Zile videos nyingine alikuletea bakuli?

Huenda analitembeza bakuli asee ..ila namuaminia kwa video mbovu si unakumbuka cinderella!!?,...

usikute anaogopa kutoa video mbovu wakati huu ambao Watu wanatolea video Uingereza huko yeye kazoea Dushelele video anaitolea mbagala...
 
Acha umbea Cinderella alitupia swagz za kutosha si unajua tena enzi zile?
Hivi umewahi kuiona video ya kwanza ya diamond kaimba na Romy j na fatma???nimecheka hatari
Kujipanga lazima ajipange maana hatutakubali atuangushe na tunavyompa support ya nguvu lazima akaze msuli
 
Hako ka wimbo na romy unaweza linganisha na cinderella ilivyokuwa hit??

uzuri mmoja Dai anapiga hatua kuanzia kamwambie, moyo wangu, kesho , my number 1, bum bum hadi mdogomdogo lazima utaona hatua ila kibakuli cinderella, single boy na nakshinakshi hazina tofauti
 
Huenda analitembeza bakuli asee ..ila namuaminia kwa video mbovu si unakumbuka cinderella!!?,...

usikute anaogopa kutoa video mbovu wakati huu ambao Watu wanatolea video Uingereza huko yeye kazoea Dushelele video anaitolea mbagala...

Acha umbea Cinderella alitupia swagz za kutosha si unajua tena enzi zile?
Hivi umewahi kuiona video ya kwanza ya diamond kaimba na Romy j na fatma???nimecheka hatari
Kujipanga lazima ajipange maana hatutakubali atuangushe na tunavyompa support ya nguvu lazima akaze msuli
 
Subiri itoke ndio tutajua kama kapiga hatua au lah
 
Mbona wimbo wa Mdogo mdogo umewahi sana kuchuja Chifu??....

Mapokeo ya Mdogo mdogo yamekuwa tofauti na My Number 1 au My Number 1 Remix....Mdogo mdogo umechuja mapema sana....Pia maudhui ya Video ya Mdogo mdogo yalichangia wimbo huo kuchuja, I wish Diamond angerudia kushoot wimbo huo...
 
Unaposema mdogomdogo umechuja ni ushabiki tu, pitia chati zote za radio na televishen uone mdogomdogo imekamata nafasi ya ngapi na wakati ukifanya hayo uangalie nyimbo 2 alizoziachia kiba kwa mpigo zinakamata nafasi ya ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…