Diamond kupiga shoo ya bei ghali zaidi kuwahi kutokea katika historia ya Muziki wa Tanzania

Diamond kupiga shoo ya bei ghali zaidi kuwahi kutokea katika historia ya Muziki wa Tanzania

c bure anataka ajazie pesa alizojiwekea dhamana kwa kuvaa gwanda za walinzi wa nchi.kwa akili yangu timam cwez toa elf 50 ama 70 kisa kumuona diamond.kuliko hiyo hela nikaitoe kwa diamond bora nikanywe bia za kutosha nipunguze mawazo
 
Na bado!
Mwaka mpya ana show Rwanda. Atakula $100000 ,
wasafi classic babyyy halaa!
 
Back
Top Bottom