Diamond kushinda tunzo ya BET haiwezekanii!!

Diamond kushinda tunzo ya BET haiwezekanii!!

Mleta mada anajaribu kuchambua manbo kama mganga wa kienyeji
Mbona kiba kafanya collaboration na T.Kelly lakini kutwa yupo mchangani KTMA
 
[emoji23][emoji23]watu mna majibu
afu hio one dance wizkid cjamsikia....


sema Mungu amjalie diamond wetu
ushindi alete nyumbani
tunampenda sana & tunamtakia kila la kheri!!!
 
Ishu ikimuhusu Diamond basi atajadiliwa na Kiba na ishu ikimuhusu Kiba basi Diamond atatajwa,na wa Bongo tunahemka na kujitoa ufahamu kinoma duh lazima tumerogwa sio bure tumekua wehu.
 
Jitafakari upya kijana, BET hawafanyi maamuzi kutizama majina ya wakina Chris Brown maana hao ni waajabu kwetu ila kwao ni wa kawaida saaaana..

Jiulize Davido mwaka jana alitoa collable na MeekMill ila mwaka huu hayupo katika hata hizo nominations, Kwahiyo kigezo cha majina ya wasanii hao hakina uzito wowote..

Pili unapoona Wizkid ametokea kwenye collable ya One dance na inatisha Billboards Sio sababu yeye kupewa marks, kwakuwa
1. Wimbo sio wake
2. Wimbo hautambuliki kwenye BET mwaka huu maana hata Drake ameingilia Hotline bling n.k ila sio one dance
3. Kila msanii pale ameingia kwa wimbo wake na sio kuangalia mgongo wa fulani.. Wizkid kaingilia Ojuelegba, Diamond ameingilia Nana, sasa kutafuta mshindi unaanzia hapo, kuelekea kura za mashabiki, majudge, n.k
Mimi nilikuwa sijui ngoma gani wameingilia kama ni hivyo Ojuelegba ni hit kubwa sana huwezi kufananisha na Nana hayo ndio maoni yangu, ile ngoma ni level nyingine kabisa.
 
Sasa unakunika nini...muhimu sana kwa mwanamuziki ni kutambulika na kwa hilo anazidi kupiga juhudi na anakubalika na anapendwa.

Kuna wanamuziki wengi hata tuzo za ko-a bar hawatajwi kwa hiyo tumpe sifa zake nyingi Baba Tiffah kwa kupeperusha bendera ya nchi yetu na pia kwa kuwa mwanamziki wa nchini ambaye ni hakunaga...

Twakupenda sana Chibu wetu...hongera kwa kuwa nominated
 
Best part ya hii story ni hapo kwenye maelezo kwamba Marekani wanamsikiliza sana WizKid kuliko Ne-Yo.
Mleta mada anaongea kama anaishi marekani vile, au sijui takwimu alipata wapi.
 
Mimi nilikuwa sijui ngoma gani wameingilia kama ni hivyo Ojuelegba ni hit kubwa sana huwezi kufananisha na Nana hayo ndio maoni yangu, ile ngoma ni level nyingine kabisa.

Mkubwa kwa kupima nini???
 
Hapati tena kwanza ana team kibao ana miliki mara team Tifah,team chibu,team dangote,haya ma team kazi ni kutukana na ku promote bifu na kiba hawana lolote ma bogazi watupu.
 
acha kupotosha umma. Kipengengele alicho normineted diamond platnumz cha mtumbuizaji bora wa mwaka kinamruhusu kuchukua tuzo. Diamond yuko vizuri ki utumbuizaji kumzdi wizkid. Ww unayemkatsha tamaa umekuwa Mungu?? Shame on you
Kitendo cha kuperform katika tuzo hizo ni jibu tosha
 
Mimi nilikuwa sijui ngoma gani wameingilia kama ni hivyo Ojuelegba ni hit kubwa sana huwezi kufananisha na Nana hayo ndio maoni yangu, ile ngoma ni level nyingine kabisa.
Ojuelegba ndiyo ile aliyoweka kipande cha video na alicia Keys akiicheza ama ndiyo ile Drake aliyoifanyia Remix? ndo inashindanishwa na Nana? Duhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Kumbe mmeshagundua size ya diamond ni wizkid sio yule sindelela na badooo
 
Sasa nani kachukua tuzo? Wengine tupo mbaandu hakuna TV wala redio
 
Back
Top Bottom