Msolopagaz
JF-Expert Member
- Jan 29, 2014
- 461
- 212
Hivi TZ tunawakilishwa na nani?
Mkuu mbona nilisoma sehemu kuwa BBA itaanza tarehe 5 october hadi december 14??
atakuwa mtanzania wa kwanza kutumbuiza BBa
Sio Dida?
mmmmhh......huyu wa Times fm?
Hawa wanaoenda big brother huwa wanachaguliwa na Nani?
Aisee Team Kiba mtafwariki mwaka huu,Domo anawafanya hampumui na mwanadaresalama yenu
Ila Sijui why wanamfananisha diamond na alikiba maana alikiba kafunikwa kila kitu
Kiba ana sauti nzuri kiukweli lakini anatakiwa abadilike atoe video kali pia awe na muonekano wa kistar kama alivyosema Muuza Sura video ya mwana mpaka leo jamanii khaa???
mmmmhh......huyu wa Times fm?
Aisee Team Kiba mtafwariki mwaka huu,Domo anawafanya hampumui na mwanadaresalama yenu
Kiba yupo sana huyo Domo sidhani kama ana miaka 2 mbele ya kuendelea kuwa kwe peak IPO SIKU TEAMDOMO MTAFICHA SURA ZENU MBELE ZA WATU acha leo mpige kelele
Acha ugomvi....wakija team Kiba hapa utajifichaaa utuachie wenye meno tutafunee....