Diamond kutumbuiza big brother Africa

Diamond kutumbuiza big brother Africa

Msolopagaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2014
Posts
461
Reaction score
212
D.plutnumz anatarajia kutumbuiza katka uzinduz wa BBA hapo kesho pamoja na wasanii wengine kutoka Africa . Chanzo:BONGO 5
 
Mkuu mbona nilisoma sehemu kuwa BBA itaanza tarehe 5 october hadi december 14??
 
atakuwa mtanzania wa kwanza kutumbuiza BBa
 
Kiba ana sauti nzuri kiukweli lakini anatakiwa abadilike atoe video kali pia awe na muonekano wa kistar kama alivyosema Muuza Sura video ya mwana mpaka leo jamanii khaa???

Acha ugomvi....wakija team Kiba hapa utajifichaaa utuachie wenye meno tutafunee....
 
Last edited by a moderator:
Aisee Team Kiba mtafwariki mwaka huu,Domo anawafanya hampumui na mwanadaresalama yenu

Kiba yupo sana huyo Domo sidhani kama ana miaka 2 mbele ya kuendelea kuwa kwe peak IPO SIKU TEAMDOMO MTAFICHA SURA ZENU MBELE ZA WATU acha leo mpige kelele
 
Kiba yupo sana huyo Domo sidhani kama ana miaka 2 mbele ya kuendelea kuwa kwe peak IPO SIKU TEAMDOMO MTAFICHA SURA ZENU MBELE ZA WATU acha leo mpige kelele

Toka miaka ya nyuma mnasema Domo hana miaka miwili mbele kajamaa hakoo kanasongaaa teh the
Kupata Mafanikio lazima ushindani uwepo Kiba abadilike kabisa nae atambulikee basii
 
Acha ugomvi....wakija team Kiba hapa utajifichaaa utuachie wenye meno tutafunee....

Tuseme tu ukweli kila tuzo ni anawania Domo ina maana Ally k hawamjuii???? Hiyo domo kuitwa itwa hata kama hapati tuzo ni ushindi unajua???
 
Back
Top Bottom