Hii inaonyesha kuwa mziki wetu wa bongo flava unazidi kupaa maana kwa mwaka huu wataperform wasanii wawili kutoka Bongo, Diamond na King Kiba.
My take:
Nakuomba King Kiba usiende kumuaibisha dogo lako maana na wewe kwa sifa na hiyo sauti yako nahisi utampoteza sana Diamond. Ukilinganisha wewe ni mzee wa live band na mwenzio mkali wa play back siku hiyo ndo itajulikana nani msanii na nani mwanamziki.
SAFI SANA SIMBA.. HIYO SIKU DOGO KIBA ATATETEMEKA SANA.. NASHAURI DIAMOND AMPE SEMINA FUPI KABLA YA KUPANDA JUKWAANI .. NI HATARI SANA DOGO KIBA ANAWEZA KUTIA AIBU TAIFAHii inaonyesha kuwa mziki wetu wa bongo flava unazidi kupaa maana kwa mwaka huu wataperform wasanii wawili kutoka Bongo, Diamond na King Kiba.
My take:
Nakuomba King Kiba usiende kumuaibisha dogo lako maana na wewe kwa sifa na hiyo sauti yako nahisi utampoteza sana Diamond. Ukilinganisha wewe ni mzee wa live band na mwenzio mkali wa play back siku hiyo ndo itajulikana nani msanii na nani mwanamziki.
Kwann asiwepo?Dimond hayupo katika list ya wanaopaform