Diamond kutumbuiza kwenye tuzo za MTV mama 2016

isho_boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
2,145
Reaction score
1,892
Hii inaonyesha kuwa mziki wetu wa bongo flava unazidi kupaa maana kwa mwaka huu wataperform wasanii wawili kutoka Bongo, Diamond na King Kiba.

My take:
Nakuomba King Kiba usiende kumuaibisha dogo lako maana na wewe kwa sifa na hiyo sauti yako nahisi utampoteza sana Diamond. Ukilinganisha wewe ni mzee wa live band na mwenzio mkali wa play back siku hiyo ndo itajulikana nani msanii na nani mwanamziki.

Screenshot from 2016-09-26 09:18:49.png
 
Best performer in Africa nilihisi naye atakuwa ktk list.
 
Hii inaonyesha kuwa mziki wetu wa bongo flava unazidi kupaa maana kwa mwaka huu wataperform wasanii wawili kutoka Bongo, Diamond na King Kiba.

My take:
Nakuomba King Kiba usiende kumuaibisha dogo lako maana na wewe kwa sifa na hiyo sauti yako nahisi utampoteza sana Diamond. Ukilinganisha wewe ni mzee wa live band na mwenzio mkali wa play back siku hiyo ndo itajulikana nani msanii na nani mwanamziki.

Mada ya kichochezi hii
 
Ni aibu kubwa sana tena sana mkubwa wa umri na wa kazi,KUPITWA KWA KILA KITU NA MDOGO WAKO ALAFU NA WEWE MKUBWA KWA UZUZU WAKO UNAANZA KUSHINDANA NAE WAKATI KAKUKUTA NA AKAKUPITA MBALI SANA.
 
Hivi sasa Diamond ku-perform kwenye majukwaa makubwa sio habari tena bali ni taarifa kama taarifa nyingine yoyote ile! Ahsante kwa taarifa mleta mada!
 
Hii inaonyesha kuwa mziki wetu wa bongo flava unazidi kupaa maana kwa mwaka huu wataperform wasanii wawili kutoka Bongo, Diamond na King Kiba.

My take:
Nakuomba King Kiba usiende kumuaibisha dogo lako maana na wewe kwa sifa na hiyo sauti yako nahisi utampoteza sana Diamond. Ukilinganisha wewe ni mzee wa live band na mwenzio mkali wa play back siku hiyo ndo itajulikana nani msanii na nani mwanamziki.

SAFI SANA SIMBA.. HIYO SIKU DOGO KIBA ATATETEMEKA SANA.. NASHAURI DIAMOND AMPE SEMINA FUPI KABLA YA KUPANDA JUKWAANI .. NI HATARI SANA DOGO KIBA ANAWEZA KUTIA AIBU TAIFA
 
Kibakuli aache ujinga mambo ya kuliaibisha taifa km kwny tuzo za africa magic movies awards hatutaki
 
kuna mpaka leo bado wanaamini mziki ni kuwa na sauti nzuri tu.... Tuna safari ndefu sana aisee....
 
Back
Top Bottom