skunk
Senior Member
- Aug 11, 2013
- 166
- 27
Duuuh namshauri asiende wale jamaa wavaa suti watampa fomu zao ila its ok kuonana nawavaa sutihongera sana diamond...
itumie fursa hii kukutana na kufanya kazi za muziki na magwiji kama jay z, beyonce, r kelly, akon, lil wayne, ronaldinho gaucho, rihanna, eminem, lady gaga, excel, maino, justin bieber, neymar, katy perry, j. cole, rooney na drogba.
ila usijiunge na freemason!!
:A S 13: