Kumbuka Fedha zilimfanya Yuda akamsaliti Yesu. Tusubiri Tuone kilio chao cha hati Miliki karma kitasikilizwa, Maana Kati ya ahadi walizotoa wao Hawapo .Mola tujalie uzima
siasa zimeharibu timing xa wanamuziki bila kujua wanaingiza kidogo na kupoteza kikubwa Jst imagine Lowassa akishika nchi kw wanaomtukana hadharan na kufanya kampen against itakuaje??