Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Daimond muziki ndio "permanent taaluma yake" ndio inayomuingizia kipato kama vile Mabere na taalumu yake ya uanasheriaYou are missin the point... Wel, my point. Kuna tofauti ya kuchagua upande unao-support na kuupigia campaign. Some of the fans wont drop diamond for supportin CCM. The will drop him kwa kuwapigia campaign. Unapokuw maarufu kutokana na sanaa km mziki ni tofauti na permanent taaluma. I mean, decision zako hazita-base only on what you feel right, but also what advantageous to your carrier( on this case Music). Comparison ulizofanya brother, are irrelevant coz the scenario are different. I just dont think it was necessary yeye as diamond kusupport upande wowote wa siasa. Ingekuw ni as Naseeb, sio tatizo. Coz as diamond, people wil make unreasonable decision bout nani anafaa. But hey, maybe you are right!
this election inaweza kuwa your worst nightmare-lowasa lazima awape usumbufu wa kutosha na ndio hapo utakapoheshimu wachagaMkikosa hoja mnaanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.
Watu wenye roho mbaya utawajuwa tu.
Halafu hawa wachagga ndiyo tuwape Ikulu?
Mawee!
this election inaweza kuwa your worst nightmare-lowasa lazima awape usumbufu wa kutosha na ndio hapo utakapoheshimu wachaga
Msanii Diamond ni mmoja wa wasanii vijana waliopata umaarufu kwa juhudi zake na support ya washabiki wake hasa vijana wenzie katika siku hizi za karibuni.
Kwa sasa amependekezwa kuwania tuzo za MTV EMA na ameomba support ya kura ili kupata ushindi.
Lakini response ya safari hii ni tofauti kabisa na huko nyuma hasa baada ya kukubali kujiingiza katika kampeni za kisiasa. Watu kadhaa walimuonya kuwa siasa zitamharibia na kumpotezea washabiki lakini alidharau na wapo Waliompa ushauri eti asijali kwani hata US wasanii wanajihusisha ma kampeni utadhani kampeni zinafanana.
Ukisoma mitandao inaonyesha kuwa wengi hawatamsapoti kwa kura safari hii na kumganya kuwa msanii wa kwanza kiazibiwa na siasa. Wasanii wajifunze kuwa uchaguzi ni kila baada ya miaka 5 ila maisha ya kazi zao ni kila siku.
Mbaya ni kuwa aliamua kulitetea kundi linalowakandamiza wapiga kura wake.

Nimeamini elimu ni kitu muhimu sana. Wewe unanishambulia bila kujua msimamo wangu. Mada inasema Atakuwa msanii wa kwanza kuumizwa na siasa. Sio kuwa mie simuungi mkono. Kujadili jambo kunataka akili sana, maana lazima uelewe mada kisha umuelewe mtoa mada kasimamia wapi. Nakushauri nenda shule kwanza kisha njoo JF uchangie labda utakuwa umepata uelewa kidogo na sio mihemko.Duh. ndo maana mnaitwa wapumbavu.. kwa taarifa yako diamond ndo msanii atakae kuwa juu kwa mudq mrefu na kufanikiwa zaid ya wasanii wote tz. atakuwa bilionea kuliko msanii yeyote tz. atajulikana kila kona ya dunia kuliko msanii yeyote tz.
yaan atavunja record ya kila kitu.
endelea kubwabwaja huku mwenzako anaendelea kuvunja record kila siku.
Nimeamini elimu ni kitu muhimu sana. Wewe unanishambulia bila kujua msimamo wangu. Mada inasema Atakuwa msanii wa kwanza kuumizwa na siasa. Sio kuwa mie simuungi mkono. Kujadili jambo kunataka akili sana, maana lazima uelewe mada kisha umuelewe mtoa mada kasimamia wapi. Nakushauri nenda shule kwanza kisha njoo JF uchangie labda utakuwa umepata uelewa kidogo na sio mihemko.
Msanii Diamond ni mmoja wa wasanii vijana waliopata umaarufu kwa juhudi zake na support ya washabiki wake hasa vijana wenzie katika siku hizi za karibuni.
Kwa sasa amependekezwa kuwania tuzo za MTV EMA na ameomba support ya kura ili kupata ushindi.
Lakini response ya safari hii ni tofauti kabisa na huko nyuma hasa baada ya kukubali kujiingiza katika kampeni za kisiasa. Watu kadhaa walimuonya kuwa siasa zitamharibia na kumpotezea washabiki lakini alidharau na wapo Waliompa ushauri eti asijali kwani hata US wasanii wanajihusisha ma kampeni utadhani kampeni zinafanana.
Ukisoma mitandao inaonyesha kuwa wengi hawatamsapoti kwa kura safari hii na kumganya kuwa msanii wa kwanza kiazibiwa na siasa. Wasanii wajifunze kuwa uchaguzi ni kila baada ya miaka 5 ila maisha ya kazi zao ni kila siku.
Mbaya ni kuwa aliamua kulitetea kundi linalowakandamiza wapiga kura wake.
Msanii Diamond ni mmoja wa wasanii vijana waliopata umaarufu kwa juhudi zake na support ya washabiki wake hasa vijana wenzie katika siku hizi za karibuni.
Kwa sasa amependekezwa kuwania tuzo za MTV EMA na ameomba support ya kura ili kupata ushindi.[\COLOR]
Lakini response ya safari hii ni tofauti kabisa na huko nyuma hasa baada ya kukubali kujiingiza katika kampeni za kisiasa. Watu kadhaa walimuonya kuwa siasa zitamharibia na kumpotezea washabiki lakini alidharau na wapo Waliompa ushauri eti asijali kwani hata US wasanii wanajihusisha ma kampeni utadhani kampeni zinafanana.
Ukisoma mitandao inaonyesha kuwa wengi hawatamsapoti kwa kura safari hii na kumganya kuwa msanii wa kwanza kiazibiwa na siasa. Wasanii wajifunze kuwa uchaguzi ni kila baada ya miaka 5 ila maisha ya kazi zao ni kila siku.
Mbaya ni kuwa aliamua kulitetea kundi linalowakandamiza wapiga kura wake.
Bora nimpigie kura Dudubaya ama Shilole kuliko huyo mchumia tumbo anayeishi kwa kiki za wanawake mashuhuri.