Diamond kuwa msanii wa kwanza kuumizwa na siasa

Diamond kuwa msanii wa kwanza kuumizwa na siasa

Fuatilieni basi hata akina Jay z huko nje wanashirikije siasa acheni mihemko na mapovu yasiyo na hoja.

Wasanii wa marekani wanaojihusisha na siasa ni wale ambao wameridhika na hapo walipo, na wamekuwa wajasiliamali wa siku nyingi, hivyo hawajali mashabiki watakaopoteza. Mfano, huyo uliyemu-address... Kama msanii anahitaji expansion ya domain yake ya mashabiki hana budi kutojihusisha katika magroup mbalimbali ya kijamii na kiitikadi. Think about it. Swala sio diamond anashabikia chama gani, bali kutumia jina lake la kisanii ku-influence decisions za wananchi kweny siasa. Kwa mawazo yangu, nadhani kila mtu ana haki ya kuamua pa kuegemea... Lakin inabid atambue siasa itapunguza mashabiki. Thats all
 
Umesema vizuri.. Wengi wao si wachumia tumbo.. Wana utajiri wa kutosha, hawaombi kupigiwa kura washinde tuzo.

Ila cha msingi kabisa ni kuwa mazingira ya kisiasa huko kwao ni tofauti sana na hapa kwetu
 
Umesema vizuri.. Wengi wao si wachumia tumbo.. Wana utajiri wa kutosha, hawaombi kupigiwa kura washinde tuzo.

Ila cha msingi kabisa ni kuwa mazingira ya kisiasa huko kwao ni tofauti sana na hapa kwetu

Kabisaa... Uko sahihi. Sisi watanzania tunapenda kulinganisha na watu tusiolingana nao.
 
Hizo habari za Diamond kusemea serikali mbona zilishapatiwa ufumbuzi?!nyie team kiba mbona wasengerema hivi???
 
hata mm binafs nilikuwa fans mkubwa wa diamond lakin kwa sasa akwende zake kule! atapigiwa kura na cvm wake

Mbona humu ndani hatukujui kama we shabiki wa diamond?!nani anayekujua?
 
Wadauu mnakumbukaa hiii...

Punguza mahaba na ushabiki wa kisiasa Victor!!wasanii walishatekelezewa hilo swala nasasa hivi kila msanii ananufaika na muziki wake kupitia callertune za nyimbo yake!

Acheni kutumia vitu vilivyokwisha kupatiwa ufumbuzi kama sehemu ya kampeni
 
Attachments

  • 1442827202946.jpg
    1442827202946.jpg
    59.7 KB · Views: 144
Tar 9/04/2013
alipost hiki kwenye account yake fb.Hawa wasanii wetu bhana.

Hilo suala lilishapatiwa ufumbuzi na sasa hivi wasanii wananufaika na kazi zao
 
Attachments

  • 1442827338368.jpg
    1442827338368.jpg
    51 KB · Views: 131
Kwa kweli kitakachomkuta diamond kitamgarimu Sana kwani ushabiki Wa siasa kitamporomosha Sana tu na atorudia tena. Yeye ameangalia hapo alipo now bila kufikiria aendapo. Mbn kuna wenzie wameona mbali na kuzikataa hizo fetha Kama akina weusi? Ao ndio kafikiri kafika coz anayosapoti ya boss lady?
 
Diamond ameshidwa kutambua mashabaki wake wa muziki wako mlengo gani katika siasa. Sishangai Diamond kuwa kama Mr.Nice very soon.
 
Diamond ameshidwa kutambua mashabaki wake wa muziki wako mlengo gani katika siasa. Sishangai Diamond kuwa kama Mr.Nice very soon.

Hayo maneno ya Diamond kuwa kama Mr.Nice yameanza kusemwa miaka minne iliyopita but sijaona ikitokea
 
Sio yeye peke yake nakumbuka enzi za maro. Hivi huyu maro kampeni za 2010 zilimtupa wap?

Diamond mbona hata 2010 aliifanyia CCM pia , Kina Chege , tunda man , almost wasanii wote , msisingizie Marlow
 
Diamond mbona hata 2010 aliifanyia CCM pia , Kina Chege , tunda man , almost wasanii wote , msisingizie Marlow

2010 diamond alikua underdog tofauti na sasa yupo kwenye peak yake kisanii hao kina chege this time hawa hit ka mwanzo,Marlow 2010 ndo alikua msanii anaye hit kila corner Tanzania
 
Back
Top Bottom