Diamond kuwa msanii wa kwanza kuumizwa na siasa

2010 diamond alikua underdog tofauti na sasa yupo kwenye peak yake kisanii hao kina chege this time hawa hit ka mwanzo,Marlow 2010 ndo alikua msanii anaye hit kila corner Tanzania

Point ya msingi sijaiona bado , Marlow hakuachishwa mziki aliacha mwenyewe

Kwann msiseme akina Roma au Ney wa Mitego? Tuache double stand , Leo ukipitia ukurasa wa instagram wa Ali Kiba, Ana i kampenia CCM , lkn n nadra sana kunyooshewa kidole , Nenda kwenye ukurasa wa Young De , anafanya kile kile anachofanya Ali K lkn matus usipime

Ukienda kwenye ukurasa wa Kala Jeremiah , ana kampenia UKAWA , lkn hakuna anae mhoj , ama huu sio upande?

NB. Kama kigezo n anae HIT , vip kuhusu kina NEY ROMA NA ALI K? ama hawa n Ruksa?
 
Hyo ni from my personal observation ya kala Jeremiah ni another case tu vitu vingine vinatokea tu bila sababu kulingana na upepo wa vitu halisi vinavotokea kwenye mda flani
 
Kumalizia tu , msanii ataanguka ama kufa kimzik mda wake utakapo wadia sio kwa chuki au mapenz ya kikund flan cha watu

Usicho kijua n kwambà upande ambao Kala yupo ndio unaofanya wewe uone n case tofaut , lait kama asingekua upande huo tungeongea mengne hapa , sijui kwann huo upande una CHUKI BINAFSI namna hii

jion njema
 
Sasa kumbe inajua msanii mda wake ukifika wa kufulia anafulia tu bila kupenda na yeye mda wake utafika tu wakuchokwa kama wasanii wengine duniani wala haihusiki na chuki wala nini. Chochote kifikacho kwenye peak kufulia ni as usual wala haijalishi upande wa akishabikiacho MTU.
Tchaliiii
 
Pesa inaweza kununua hata imani ya mtu!!

Hata mimi nimwshampotezea Mondi!!
 
Wasanii wa marekani wanaojihusisha na siasa ni wale ambao wameridhika na hapo walipo, na wamekuwa wajasiliamali wa siku nyingi, hivyo hawajali mashabiki watakaopoteza. Mfano, huyo uliyemu-address... Kama msanii anahitaji expansion ya domain yake ya mashabiki hana budi kutojihusisha katika magroup mbalimbali ya kijamii na kiitikadi. Think about it. Swala sio diamond anashabikia chama gani, bali kutumia jina lake la kisanii ku-influence decisions za wananchi kweny siasa. Kwa mawazo yangu, nadhani kila mtu ana haki ya kuamua pa kuegemea... Lakin inabid atambue siasa itapunguza mashabiki. Thats all

Mkuu kama kweli tunataka mabadiliko inabidi tuanze kubadilika individually kwa kuondokana na mentality kama hizi zako, leo hii ni sahihi Gwajima kusapoti upande anaotaka lakini Diamond ni mbaya
Leo hii Ney wa mitego au Wholper au Wema ni sahihi kusapoti upande ila kwa dai ni nongwa!!!!!!!!!

Mabere marando mwanasheria wa cdm wakati huo ndio alikua wakili wa watuhumiwa wa epa iliopigiwa sana kelele na cdm
Lazima tutenganishe kazi ya mtu na pia tuheshimu chaguo lake la kusapoti upande, hapo tutakuwa tumebadilika kweli

Naamini wanaompenda Dai ni kwasababu ya kazi na bidii yake na wala sio chama anacho sapoti
Usitishike na kelele za mitandao hao ni kawaida yao miaka yote na Dai anaZidi kupaa
 
Meneja amewajibu nyie mnaokazania na kufikirisha mambo ya mwaka 2013 wakati mabafiliko yalikuja. Ndio mujue nguvu ya Diamond Platnumz hiyo Leo watu wanakula hata nyie mnaumia roho kusaka vya enzi kaeni huko huko.

1442857120643.jpg
 
Embu nendeni mkatafute pesa zenu muache wivu mnatia aibu utazani kawafunga mikono na akili zenu.

Duh
 
Mkuu kama kweli tunataka mabadiliko inabidi tuanze kubadilika individually kwa kuondokana na mentality kama hizi zako, leo hii ni sahihi Gwajima kusapoti upande anaotaka lakini Diamond ni mbaya
Leo hii Ney wa mitego au Wholper au Wema ni sahihi kusapoti upande ila kwa dai ni nongwa!!!!!!!!!

Mabere marando mwanasheria wa cdm wakati huo ndio alikua wakili wa watuhumiwa wa epa iliopigiwa sana kelele na cdm
Lazima tutenganishe kazi ya mtu na pia tuheshimu chaguo lake la kusapoti upande, hapo tutakuwa tumebadilika kweli

Naamini wanaompenda Dai ni kwasababu ya kazi na bidii yake na wala sio chama anacho sapoti
Usitishike na kelele za mitandao hao ni kawaida yao miaka yote na Dai anaZidi kupaa

You are missin the point... Wel, my point. Kuna tofauti ya kuchagua upande unao-support na kuupigia campaign. Some of the fans wont drop diamond for supportin CCM. The will drop him kwa kuwapigia campaign. Unapokuw maarufu kutokana na sanaa km mziki ni tofauti na permanent taaluma. I mean, decision zako hazita-base only on what you feel right, but also what advantageous to your carrier( on this case Music). Comparison ulizofanya brother, are irrelevant coz the scenario are different. I just dont think it was necessary yeye as diamond kusupport upande wowote wa siasa. Ingekuw ni as Naseeb, sio tatizo. Coz as diamond, people wil make unreasonable decision bout nani anafaa. But hey, maybe you are right!
 
Mjinga usimfumbulie fumbo watanzania hatujielewi diamond kuingia kwenye siasa sio swala LA kushangaa sasa dunia imekuwa kama kijiji usipompigia kura atapigiwa na s.Africa na Nigeria yako hatuitaki coz unaakili kama matako ya bata ukijisikia kuropoka unaropoka ifike mahali tuheshimu mitazamo ya kila mmoja wetu coz hi no democracy usimlazimishe MTU kufata unachotaka na hapo ndio watanzania tunapofeli katika mambo yetu tuelimike jamani uuuwwiiiiiiii mnatia huruma tatizo tunapenda kufata mkumbo na ushabiki utatuua ndo maana mzungu anaamini muafrika kalaaniwa coz ya mambo kama haya
 
Wasanii wa marekani wanaojihusisha na siasa ni wale ambao wameridhika na hapo walipo, na wamekuwa wajasiliamali wa siku nyingi, hivyo hawajali mashabiki watakaopoteza. Mfano, huyo uliyemu-address... Kama msanii anahitaji expansion ya domain yake ya mashabiki hana budi kutojihusisha katika magroup mbalimbali ya kijamii na kiitikadi. Think about it. Swala sio diamond anashabikia chama gani, bali kutumia jina lake la kisanii ku-influence decisions za wananchi kweny siasa. Kwa mawazo yangu, nadhani kila mtu ana haki ya kuamua pa kuegemea... Lakin inabid atambue siasa itapunguza mashabiki. Thats all
Wewe umeielewa mada vilivyo tofauti na walioielewa kwa ku base katika ushabiki. Tunampenda huyu kijana na tunasema atakuwa wa kwanza KUADHIBIWA NA SIASA. Ndilo linalotusikitisha, hao wanaomshauri wanapenda kuvuta pesa zake haraka haraka lakini sio kumjenga kwa ajili ya kesho na kesho kutwa.
 
Kabisa Mkuu... Umenena!
 
huyu domo ataisoma namba kushabikia ccm........ sio tu hatumpigiii hiyo haitoshi ktk kila category aliyopo pia tunawapigia wapinzan wake ili kufuta kabisa matumaini ya yeye kushinda!!!! ubaya ubaya tu huwez jiweka ktk kundi linalovunja hope za watanzania alafu tukuchekee!!
 
N

Pesa ndio sabuni ya roho ...

Ali mradi iingie mkononi.
 
Huyo Diamond ana hali ngumu sana, kwanza tuzo anakosa na chapili Magufuli ana angukia pua. Baada ya hapo sijui nani atamsaidia kwakua ataonekana kama msaliti mbele ya jamii na hii ita muathiri kisaicholojia sana. Ila mimi naomba watanzania wamsamehee hapo baadae ila kwa sasa wampige chini kwenye tuzo kwa kumpigia Kura DAVIDO.
 
Tatizo Diamond anatukana ndo mana anatukera watu. Kuwa CCM sio dhambi lakini inamaana hawezi tu kuwa anamsifia magufuli bila kumtukana Lowasa na ukawa?
 
Back
Top Bottom