Diamond kuwashirikisha Rick Ross na Rihanna

Vyovyote vile itakavyokua poa tuu.
Kwani kusikiliza shi ngapi?
As long as wimbo uwe mzuri au mbaya kwa vyovyote vile hautaathiri kazi na biashara zangu, basi all the best kwao wote.
Iwe ni Kiba,Diamond au Man Fongo fresh tuu.
 
Now nimeelewa kwa nini ulikuwa unabisha kwamba Diamond hawezi kununua nyumba SA,hapa umenyesha rangi yako halisi.
 
Inawezekana buana...
Mbona Ali Kiba alifanya Collabo na R.Kelly na ngoma ikahit..!
Sasa kwanini Diamond ashindwe kufanya collabo na Rihanna..!?
Hongera Diamond..!!!
 
Kwa wasanii watanzania inawezekana akimaliza anafanya colabo na juma kaseja
 
Halafu Collabo za Ulaya msanii anaangalia Fanbase uliyonayo na Pesa utakayompa basii...

Haters walianza kusema Diamond hawezi kufanya Collabo na Psquare miaka ilee..mwisho wa Siku Collabo imefanyika,wakasema Haiwezekani kabisa Diamond kufanya Collabo na Neyo,Collabo imefanyika na sasa iko ulaya huku inasumbua kwenye stations mbalimbali..inatarajia kuingia Africa hivi Karibuni.

Sasa hivi haters hawaamini kama Riri atadondosha Vocal zake WCB,sisi tunasema Subirini muone!!tuombe uzima tu..

Ushauri wa bure kwenu Anti-Diamond ni hivi:-Kama hupendi aina ya muziki pamoja na Sauti ya Diamond ni kheri ukakaa mbali na mambo yake,lakini ukisema umfatilie na usikilize nyimbo zake na hustle zake basi UTAUMIA SAAANA MOYO.. Kiukweli Diamond anakeraaaa...tena anakera haswaa![emoji22]

Halafu alivyokuwa na PHD ya kukera watu kijana huyu,hua anagusapalepale panapouma!!ili mradi tu upige kelele[emoji38]!
Halafu kesho unamuona anakuringishia!

Hata kama ningekuwa mimi(Anti Diamond) jamani lazima Roho ingeuma...zaidi ya Miaka 8 mfululizo hajawahi kuachia Gape?!
Maumivu yenu nayajua jamani poleni sana,tuendelee kuomba huenda mungu akasikia kilio chetu ili hili Dubwasha Dee liishiwe Nguvu[emoji23][emoji23]
 
Inawezekana buana...
Mbona Ali Kiba alifanya Collabo na R.Kelly na ngoma ikahit..!
Sasa kwanini Diamond ashindwe kufanya collabo na Rihanna..!?
Hongera Diamond..!!!
Hio nyimbo inaitwaje..alikiba feat rkelly ..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watandondoka kwa presha kwa sms yako hii ...
 
Jamaa kasema mwenye uelewa na hili atalielezea vizuri, maana yake hata yeye haelewi alichokiandika.
Acha roho mbaya ..ni bora ukae kimya kama hujaelewa vizuri na hata hivo nimemfafanulia kias. Roho mbaya haziwasaiidii sana sana mtajipa magonjwa ya moyo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…