edwinRM
Member
- Apr 2, 2016
- 19
- 5
Du kodi ni asilimia zerooooo nini. Kwa magu sijui natunza akiba ya maneno. Hati punguzo ya kodiTatizo ukiuliza maswali ya msingi wanakuita hater.
Lile swala bilioni 2 za Universal Music Group limekaa kijanja mno yaani wa-sign deal kubwa kama hiyo alafu yule SingaSinga Sallam akubali kukaa kimya watu wasijue thubutu kama mkataba wa Tomato tu waliutangaza ndio utakuwa wa Universal wenye masifuri mengi?
Kwanza aeleze ilikuaje akalipwa bilioni 2 na kodi akakatwa milioni 35?
La Sivyo hawa jamaa ni waongo.