Diamond kuwashirikisha Rick Ross na Rihanna

Diamond kuwashirikisha Rick Ross na Rihanna

Tatizo ukiuliza maswali ya msingi wanakuita hater.

Lile swala bilioni 2 za Universal Music Group limekaa kijanja mno yaani wa-sign deal kubwa kama hiyo alafu yule SingaSinga Sallam akubali kukaa kimya watu wasijue thubutu kama mkataba wa Tomato tu waliutangaza ndio utakuwa wa Universal wenye masifuri mengi?

Kwanza aeleze ilikuaje akalipwa bilioni 2 na kodi akakatwa milioni 35?

La Sivyo hawa jamaa ni waongo.
Du kodi ni asilimia zerooooo nini. Kwa magu sijui natunza akiba ya maneno. Hati punguzo ya kodi
 
kila jambo linaezekana!
Kama la kumshirikisha Chris Brown lilivyowezekana na nyimbo ikatamba sana.
1480308882882.png
 
Back
Top Bottom