Diamond kuzindua ‘headphones na earphones’ zake ‘Chibu Beats’ mwishoni mwa mwaka huu

Diamond kuzindua ‘headphones na earphones’ zake ‘Chibu Beats’ mwishoni mwa mwaka huu

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Diamond Platnumz anafuata nyazo za Dr. Dre, Ludacris, DJ Khaled, 50
Cent na mastaa wengine walioingia kwenye biashara ya headphones.

Mabibi na mabwana, Diamond anawaletea ‘Chibu Beats.' Staa huyo ametangaza hatua hiyo kubwa wakati akimpongeza Flaviana Matata katika birthday yake. "Kama hauna taarifa bado huyu ndio aliyefanya Account yangu ya Facebook kuwa Verified," ameandika Diamond. "Na huyu huyu pia ndiYe aliyefanya kabla ya mwaka huu kuisha nitambulishe #HeadPhones & #Earphones zangu! #ChibuBeats ."
 
Washabiki wake mtanunua au zitaishia kuwa mapambambo kwenye maduka!?
 
Safi sana, tunazisubiri. Nitamnunulia mbeiby genevorious akauzie sura Mlimani city.
 
Atakuwa kamuiga kidoti maana yeye anapiga pesa kwenye wigs na wiving hatari
 
Attachments

  • 1433871857898.jpg
    1433871857898.jpg
    48.1 KB · Views: 585
Safi sana, tunazisubiri. Nitamnunulia mbeiby genevorious akauzie sura Mlimani city.

weee genev ukimnunulia hizo atazikatakata na moto atazichoma,ahahaha anampenda kiba huyoo!!
 
Atakuwa kamuiga kidoti maana yeye anapiga pesa kwenye wigs na wiving hatari

Kidoti mbunifu aisee,anajua jinsi ya kulitumia jina lake hasa na akapata pesa,kwa hilo nampongeza.
 
Nitakuwa wakala wake wa usambazaji hakyamungu,
 
ukimzungumzia huyu jamaa nafurahia mno dogo ana akili ya kuzisaka sio ka mapimbi wanaokalia umbea tu.
 
weee genev ukimnunulia hizo atazikatakata na moto atazichoma,ahahaha anampenda kiba huyoo!!

Hahaha atazivaa tu apende asipende, kila mtu mjini anasubiri kuzivaa yeye atabakije nyuma pekeake mji mzima.
 
Hahaha atazivaa tu apende asipende, kila mtu mjini anasubiri kuzivaa yeye atabakije nyuma pekeake mji mzima.

nakuambia hata tukivaa dunia nzima ila yeye hatozivaa!!ahahah mbishi huyoo
 
iBeats hazitakuwa tena na soko tena Africa!
 
Back
Top Bottom