Diamond kuzindua ‘headphones na earphones’ zake ‘Chibu Beats’ mwishoni mwa mwaka huu

Diamond kuzindua ‘headphones na earphones’ zake ‘Chibu Beats’ mwishoni mwa mwaka huu

Huyo domo huyuuu.aliishia wapi na kununua private jet?
 
Atakuwa kamuiga kidoti maana yeye anapiga pesa kwenye wigs na wiving hatari

Yaani wewe umeandika pumba gani? tuambie jina la mtu wa kwanza duniani kufanya biashara na wote wakamuiga.

Duh unasikitisha
 
haters wanawashwa ile mbaya wanaanza kuropoka wasanii ambao hats hawahusiani na Maada.......... big up chibu hizo earphone ntawekea pre-order
 
Diamond Platnumz anafuata nyazo za Dr. Dre, Ludacris, DJ Khaled, 50
Cent na mastaa wengine walioingia kwenye biashara ya headphones.

Mabibi na mabwana, Diamond anawaletea ‘Chibu Beats.’ Staa huyo ametangaza hatua hiyo kubwa wakati akimpongeza Flaviana Matata katika birthday yake. “Kama hauna taarifa bado huyu ndio aliyefanya Account yangu ya Facebook kuwa Verified,” ameandika Diamond. “Na huyu huyu pia ndiYe aliyefanya kabla ya mwaka huu kuisha nitambulishe #HeadPhones & #Earphones zangu! #ChibuBeats

alisema atazindua tv yke 1/5/ mwaka huu iko wapi
 
+Hongera Chibu, ila plan zako usiwe unatangaza kama hazina uhakika wa kuanza soon.

+Maana matamko yako yakichelewaga huku watu huwa wanatamba sana.
 
Hivi kipindi kile cha White party alizinduaga Tv station yake au zilikuwa mbwembwe tu?
 
Atakuwa kamuiga kidoti maana yeye anapiga pesa kwenye wigs na wiving hatari

Hizi ndio tunaita akilI anajua kutumia jina lake vzr...sio wengine kuzururisha nyapu tuuu...na kupiga maselfi ya kitandani na kila bwana
 
chapa ilale weka tu sokoni dogo tutanunua we ndo msanii wanchi hii .
 
Tengeneza tuku support acha blah blah, kwenye mziki huwa huniangushi ila kwingine mhhhh.
 
Hivi kipindi kile cha White party alizinduaga Tv station yake au zilikuwa mbwembwe tu?

dah watu bhana, ulimwengu wa saivi mtu akisema anafungua TV sio lazima iwe ile ya maungo, maantena na michogo ile siku ya party kijana alienda kidigital akaamua kuweka TV yake ya kustream online na watu walilipia buku 3 kucheki hio tv ..... ni kama live YouTube tv
 
Diamond Platnumz anafuata nyazo za Dr. Dre, Ludacris, DJ Khaled, 50
Cent na mastaa wengine walioingia kwenye biashara ya headphones.

Mabibi na mabwana, Diamond anawaletea ‘Chibu Beats.’ Staa huyo ametangaza hatua hiyo kubwa wakati akimpongeza Flaviana Matata katika birthday yake. “Kama hauna taarifa bado huyu ndio aliyefanya Account yangu ya Facebook kuwa Verified,” ameandika Diamond. “Na huyu huyu pia ndiYe aliyefanya kabla ya mwaka huu kuisha nitambulishe #HeadPhones & #Earphones zangu! #ChibuBeats .”


Watanunua watu maskini, biashara ya headphones and earphones ina mambo mengi, awaulize kina Dj khaleed kila siku wanahangaika kuzipromote device zao lakini still watu walio wengi hawazielewi kutokana na sound system walizozizoea, labda aeke sound system ya brad kubwa lakini sio beats mana anaeza acha na muziki ili alipie soud system.

Things are judged now with their quality not fashionality, ndomana maskini wa fikra watanunua.
 
dah watu bhana, ulimwengu wa saivi mtu akisema anafuangua TV sio lazima iwe ile ya maungo, maantena na michogo ile siku ya party kijana alienda kidigital akaamua kuweka TV yake ya kustream online na watu walilipia buku 3 kucheki hio tv ..... ni kama live YouTube tv

kumbe kama ile ya Shigongo .....
 
Diamond Platnumz anafuata nyazo za Dr. Dre, Ludacris, DJ Khaled, 50
Cent na mastaa wengine walioingia kwenye biashara ya headphones.

Mabibi na mabwana, Diamond anawaletea ‘Chibu Beats.' Staa huyo ametangaza hatua hiyo kubwa wakati akimpongeza Flaviana Matata katika birthday yake. "Kama hauna taarifa bado huyu ndio aliyefanya Account yangu ya Facebook kuwa Verified," ameandika Diamond. "Na huyu huyu pia ndiYe aliyefanya kabla ya mwaka huu kuisha nitambulishe #HeadPhones & #Earphones zangu! #ChibuBeats ."
hahahah watz bwana.....
Kuna tofaut kubwa kati ya diamond na ali kiba
 
Back
Top Bottom